@ledamalekina Hizi pesa ni za the same naysayers you are saying should kiss your whatever...... surely why can't you be a good example navenye nakuheshimu hivi ama pesa ya bread based imekutia kiburi sasa..........be a good informer wacha kuongelesha watu as if you don't care bwana senator
@citizentvkenya@RashidAbdalla@LuluHassan Lakini Rashid umeuliza swali mimi huwa najiuliza kila wakati,yaani hii valentine ni kwa nani,jinsia gani......yaani ni wanaume pekee yafaa wapeane ama kuonyesha penzi?
@gpdkaluma@TheODMparty@dr_oburuoginga We're busy working on how to unite our own families back in the village watu wapambane na hali zao bila kuhusishi wasiohusika