Oltre al classico "e la fidanzata?"
Io ho anche:
-Quando sei arrivato?
-Quando te ne vai?
-Ma non sei stufo di stare lΓ ?
-Quando torni in Italia?
-Ma stai cercando lavoro?
-Hai portato il maltempo.
Hii video from Kenya π°πͺ imeniliza akina mama wameongea kwa uchungu sana π
Ila nawapongeza wananchi kwa umoja usio na kifani ππ½
Yaani kwa sasa kila mwananchi bila kujali kabila, social status anasema #RejectFinanceBill2024
πΉπΏ tukiwa na mshikamano hivi tunajikomboa na ukoloni wa CCM in 24 hours!
The government is now threatening media censorship on @KTNNewsKE for broadcasting to the world what is happening in Kenya.π°πͺ
We clearly donβt have a government anymore. We have returned to the dark days of dictatorship.
#RejectFinanceBill2024#OccupyParliament
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya vifo vya watu kumi na tatu katika ajali ya basi mkoani Singida mapema leo. Natuma salamu za pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa ndugu zetu hawa 13 waliotutoka, na tuungane kwa pamoja katika kuwaombea Mwenyezi Mungu awarehemu.
Tuwaombee pia pona ya haraka majeruhi wa ajali hii katika matibabu yao yanayoendelea kwenye hospitali za Mtakatifu Gaspar, Benjamin Mkapa na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida.
Tumeanza kipindi cha mwisho wa mwaka, naendelea kutoa wito kwetu sote kuongeza umakini katika kuendesha vyombo vya moto, kufuata sheria za usalama barabarani na usimamizi madhubuti.