Serikali ya TZπΉπΏ Awamu ya sita chini ya uongozi wa Mama SSH kama ikiwapendeza tunaomba TABATA ipewe BAHARIπ yake..
Hatutawasumbua tenaππΎππΎππΎππππ
MBINGUNI π
MALAIKA - Kama uliishi TABATA nenda motoni moja kwa moja haina haja kuhojiwaβ¦
WATU WA TABATA - Tulishayajua hayo tuonyesheni mlango tuingie..πππππππππΎππΎππΎππΎ