Nawasalimu kwa jina la wamiliki wote wa CAMON50
Kwa bei elekezi, sasa unaweza kujipatia CAMON50 katika maduka yote ya TECNO Mobile au wasiliana nasi kwa 0760442248
💨 Makosa mengine ya kiufundi
Leo huko Ujerumani kwenye maonyesho ya IFA 2025 Tecno walipeleka simu yao nyembamba zaidi (Tecno Slim) na ikashinda.
Ila kwenye pages zao wamepost ikiwa inapigwa picha kwa simu za iPhone na Samsung.