Everything has its right time, learn to update your happyness even if you are walking through the very tough situations..ni vile tu sometimes sio lazima kila mtu alie na ww..
....You need to keep some tears, for joy atleast...ππ
Ikiwa ww ni mwanaume uliefanikiwa kiuchumi walau,....embu jipige kifua aiseee,... huwa inahitaji sana moyo wa kikatili katika kuyapambanua ni yapi mahitaji ya msingi na ni yapi yakipuuzi kutoka kwa mwanamke, ilimradi tu usichelewe unakokutarajia...πͺοΏ½οΏ½οΏ½οΏ½
#ThisIsNotAnExcuse
Tunaishi ktk dunia ambayo kiuhalisia hakuna atakayepoteza muda wake kuyafahamu mauvivu yako zaidi ya ww mwenyewe....
The only plan is to stick to your goal..ukifanikiwa basi jipongeze japo kwa wine tu, ukianguka inuka kimyakimya pukuta vumbi kisha songa.
Katika maisha ya kawaida, kama binanadam huwa tunapitia mengi yanayotuumiza...lkn always huwa kuna mtu ambaye anapaswa kukwambia atleast neno moja tu la matumaini, xo as you can move on na kusahau kila aina ya machungu..
# keep a good company always....π΄π¦
When God blesses you Financially, don't rise your standard of living instead, rise your standard of giving.
# Life is equal to life, and nothing else...
Yaani, ukiondoa agizo la Mungu kuifanya J Mosi kuwa siku pekee ya pumziko, automatically tu, huwa kuna ile amani ya moyo na hali ya kushusha pumzi kidg..kutokan na mihangaiko ya siku sita..
HAPPY RESTING DAY.......
Kama south Africa wanachimba chuma, libya wapo bize kuchumba chima, Egypt nao wanachumbya chumya..
Nafikiri na sisi hatuna namna zaidi ya Kuchamba shuma...ππππ.....