The Agribusiness Mango Discussion, Financial Services + Q&A! 🥭📈
⏰ Today, 22 Dec 2024 at 4:00 PM (EAT)
Join us to learn about financial opportunities and developments in the mango sector. Listen live here: https://t.co/VP5gqmPKpH
#Agribusiness
The use of #drones for rice spreading and fertilization offers many benefits compared to traditional methods...
Increased efficiency and speed, reducing manual labor
Precise application, leading to reduced waste and damage to crops
Real-time monitoring and data collection
Wajumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Prof.Andrew Temu 19 Machi 2024 wametembelea ofisi za Mamlaka zilizopo mpakani mwa Kenya na Tanzania Namanga pamoja na Kituo cha kijasusi cha ukusanyaji wa taarifa za masoko nje ya nchi,
Februari 27,2023 Katika Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Arusha, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) Prof. Joseph Ndunguru ,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPHPA Prof. Andrew Temu na wafanyakazi wa Mamlaka wameshiriki
Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPHPA Prof. Andrew Temu alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi la Kwanza la Mamlaka hiyo mapema leo Februari 27,2023 katika mkutano uliofanyika ndani ya ukumbi wa mikutano wa Mamlaka hiyo Arusha
Watumishi wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) wametakiwa kutumia mikutano ya Baraza la wafanyakazi kujadili mambo yanayoleta tija kwa ajili ya kuimarisha utendaji wa kazi miongoni mwao ili waweze kufikia malengo waliyojiwekea.
TPHPA na Ubalozi wa Uholanzi Nchini Tanzania, Leo tumefanya makubaliano ya Mashirikiano katika Kilimo, Balozi wa Uholanzi Mhe. Wiebe de Boer na mimi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPHPA Prof Joseph Ndunguru tumeeleza maeneo tutakayo shirikiana.
Wataalamu Kutoka Mamlaka Wakitoa Elimu na Huduma kwa Wananchi
wanaotembelea Banda letu Katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Saba Saba)Dar Es Salaam.
Udhibiti wa Nzige wekundu Wilayani Mpwapwa,kwa kutumia Teknologia ya ndege Nyuki (Drones).
Matumizi haya ya Teknolojia katika sekta ya kilimo yameiongzea @OfficialTpri ufanisi katka shughuli za uboreshaji wa sekta ya kilimo hususani katika kukabiriana na wadudu vamizi kama nzige
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Afya Mimea na Viuatilifu Tanzania imefanikiwa kudhibiti Makundi ya Ndege waharibifu aina ya Kwelea Kwelea zaidi ya Milioni 5 na kuokoa zaidi ya Ekari 1000 za zao la mpunga lililolimwa kipindi cha kiangazi Mkoani Manyara, na kuvamiwa na visumbufu