Lukundo Zawadi, Mtanzania anayeifanya biashara kuwa rahisi zaidi
Kupitia Naturedosh, wafanyabiashara wanapata jukwaa bora la kuuza na kununua bidhaa kwa urahisi.
Ikiwa unataka kuuza au kununua, tembelea https://t.co/at4byXGx8s ujionee bidhaa za kipekee na umuunge mkono
Leo, wanawake wa nguvu wanasherekea #TWTC2025 hapa @costechTANZANIA
Cc @TechWomenTz
#AccelerateAction #WomenHistoryMonth #WomenInTech
Hongera kwa wanawake waliotambuliwa na kupatiwa tuzo katika Tanzania Women and Technology Conference (TWTC 2025)! Mchango wenu mkubwa katika teknolojia unaleta mabadiliko makubwa na kuwafungulia wanawake wengine milango ya fursa. Tunawashukuru kwa kuwa viongozi wa mabadiliko na kuonesha kwamba teknolojia ni kwa wote.
#AccelerateAction
#WomenInTech
#TWTC2025
Cc: @TechWomenTZ na @LPDigitalTZ
Hongera kwa wanawake wote waliotambuliwa na kutunukiwa tuzo katika Tanzania Women and Technology Conference Jitihada zenu katika teknolojia zinaendelea kuleta mabadiliko makubwa na kuwa chachu ya usawa wa kijinsia. @TechWomenTZ na @LPDigitalTZ Tunawapongeza kwa mafanikio haya na tunaendelea kuwaunga mkono katika safari ya uvumbuzi na maendeleo!
#AccelerateAction
#WomenInTech
#WomenHistoryMonth
#TWTC2025
Mwezi huu wa wanawake, tunawapongeza wasichana wa kizazi kipya wanaochanua kwenye ujuzi wa kidijitali!
Kupitia #TWTC2025 chini ya @TechWomenTZ, wanatumia teknolojia kwa ubunifu kutatua changamoto za jamii na kuleta mabadiliko chanya.
#AccelerateAction#WomenHistoryMonth #WomenInTech
#TWTC2025 is live Women are driving the technology revolution in Tanzania Join us today at @costechTANZANIA for powerful discussions, innovation, and awards for digital change makers. The event is happening at Costech Tanzania hall
Cc @TechWomenTz
#TWTC2025 The Tanzania Women and Technology Conference 2025 is finally here! A day to inspire, innovate, and accelerate action for women in tech.
Wanawake wanachochea mapinduzi ya teknolojia Tanzania Jiunge nasi leo @costechTANZANIA kwa mijadala yenye nguvu, ubunifu, na tuzo za wahamasishaji wa dijitali.
Cc @TechWomenTz
#AccelerateAction #WomenHistoryMonth
#womenintech