Mwaka fulani nilirudi nyumbani. Mtoto wa baba mdogo akawa amekataa shule akiwa form 3. Niliamka mapema nikafanya naye kazi za watu pale mtaani. Hadi inafika saa 2 asb alikuwa amechakaa sana. Nikampeleka shuleni kwa mwendo mbaya. Alihitimu 4, 6, na Uni. Nidhamu ni LAZIMA!
@eastafricatv wakushauliwa siyo yanga wanaoitaji ushauli ni tff na bodi ya ligi je kanuni zakuhailisha mechi ya tarehe nane zilizingatiwa?baada ya hapo ndipo mje na swali lenu kwa masirahi mapana ya mpira wetu kuliko kuja na viswali visivyo na msingi
@shaffihdauda1 kwa hiyo tufanyeje?na uongozi wa yanga umetoa taarifa ya kuungana nao bwana mchafuzi wa mpira jitafakali sana hiyo siyo ndondo ni shirikisho simba wanaitaji ushindi sio maneno ya wachafuzi
@Mzeewajambia kwa sababu nawe ni mjinga ndiyo umeonyesha ujinga wako kwa kuiona simba kwenye hilo chapisho tumia angalau macho kuficha ujinga wako pole
Wote walioshiriki jaribio la mapinduzi kipindi cha DP World tukawadhibiti sasa wameibuka, bado mmoja tu, huyu amewachuuza wenzake anawashangilia akiwa mbali, wakipigwa yeye atawachekea chooni kisha ataomba kuteuliwa cc na Mwenyekiti. Zile proposal za dola laki mbili na ushee mtazitema, Ford wanawaona mnachofanya cha kuua demokrasia nchini, Vilevile ccm watawadai pesa zao soonπ. Chadema haifi
@privaldinho hata arsenar ameongoza kwa takwimu lakini hakupata matokeo kocha kasema yake yakatosha sasa wewe kama mpira hatukuona tudanganye huku uwanja inabaki mmm
@privaldinho@George_Ambangil huyo mtoto anaona wapenzi wa mpira hatuna macho kosa sio wachezaji ni wao wajitadhimini kumwondoa gamondi wakati una shindano kubwa