Once in a while in this thing called life,pause and reflect on your life,angalia mahali ulikua jana. Sababu saa ingine unawesa ona kama husongi kimaisha,lakini umetoka mbali sana. Na ni kweli tumetoka mbali sio mcheso. Unajua sisi tumekaa mpaka kwa plot. Na sio plot kama hizi zenyu za nairobi,akuna kitu apa,kuna plot,alafu kuna plot plot sasa ya ukweli. Ploti yenye bafu na choo ziko nje,ziko huko kwa gate,na vyombo pia unaoshea nje kwa veranda,sababu nyumba imejaa,kitanda pekee yake imejaza nyumba 85%
Kwani unachesa wewe! Na ploti hakuna tofauti na kamiti aki. Sababu usiku ikifika namna hii,huwezi enda choo usiku,unawesa enda kukumia upotese uhai,choo iko huko karibu na gate,sasa wewe kama uko na float,inabidi tu umedeposit kwa local bank,yani unawachilia iyo mambo yako kwa karae,na unarusa chini ya otanda,asubuhi saa kumi sasa ndio unaenda unafanya transfer kwa main bank huko kwa gate,na unaosha karae unaanika,until next time.
Ndio ulikua unanunua ndoo ikiwa colour blue january,lakini ikifika december karae imegeuka rangi imekua indigo,sababu umekojolea ile kitu imechomeka namna atari sana. Bwana yani nakwambia pale kwa plot maisha nikama ya mahabusu bwana.
Eih! Ndio mimi saa ingine naingianga kwa lift namna hii najipata nimewachilia chosi la heri bwana.
Wamama huku Biafra nawatolea mia umeweka nawaguza nayo kwa matiti wanaimba, "Tunayo njwang'a ya Sully, aah Sully, tunayo njwang'a ya Sully hamtaipata" as they cry tears of joy thanking the heavens for my cock that has changed the trajectory of their lives
Umeoga kwa sidechick alafu unafika kwa nyumba bibi anakuambia lazima uoge ndio upande kitanda yake siwezi oga mara mbili mimi afadhali nimuambie ukweli.
Kama Kuna wakati wa wanaume wa Kenya kushikana kuomba na kujifunga ni hivi Sasa . Nimeona yule sudanese wa kasarani ameanza kuuzia married women hidden cameras ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ. Shetani akiwa busy sana yeye hutuma kimani . Ni mambo gani haya Sasa . Kwanza inakaa saa buana . Sasa shida ni utafute Airbnb alafu after kufanya kazi Yako safi ya 2min unajipata kwa mpasho .
Buana mkisema ruto must go muongeze kimani hapo pia.
'Mnakula bibi za watu willingly' whole time ni bibi anataka kukuliwa.Shida moja huwa mnafanya ni kuenda kwa nyumba yenye bwana yake analipa rent..Peleka yeye kwako ama lodging , she is an adult,she consented! Ukimaliza mwambie arudi kwa uyo fala mwenye alilipa mahari.
Kwingineko michezoni ni kwamba, bingwa mara sifuri wa kombe la klabu bora barani Ulaya, Arsenal, ameweza kuadhibiwa kwa takriban mabao matatu bila jawabu ugenini na klabu ya Brighton & Hove Albion. Mwanaripoti wetu Mike Okinyi anatuarifu