Kwa wale wote waliopo vitandani na hospital waki pambania maisha yao
"Praying that you get well soon and experience the joys of being healthy again".jumma mubarak ترجمة جمعة مبارك بالإنجليزية 🤲
Ukikosa utimilifu wa rohoni na moyoni, utatafuta furaha kwenye vitu.
Tatizo ni kwamba vitu vinaweza kujaza nyumba, lakini haviwezi kujaza moyo. Ndio maana unaweza kuwa na zaidi leo kuliko jana, lakini bado ukahisi haitoshi.
Mjadala wa GPA? GPA ni kwaajili yako. Sio kwaajili tu ya ajira ya BoT au big entities. Good score will open plenty of doors for you. Kama bado uko shule, tafadhali usicheze, faulu vizuri. Usisubiri upitwe na fursa kwakukosa sifa za kitaaluma. Mengine - bahati na kudra, ni ziada!
Black Rhino Academy, Karatu, Tanzania 🇹🇿; designed by Kunlé Adeyemi of NLÉ. The catenary arches built with local materials are proof that African architecture is sustainable by nature. We just have to trust the process and use.