@TuliaAckson Mh,heshima yako.
Kwa niaba ya Watanzania tunaomba uliruhusu bunge lijadili kuhusu,hali iliopo ya utekwaji na kupotea kwa watu sio vyema wewe km spika kuchagua upande.
Wabunge wanatuwakilisha sisi ni haki yao kujadili na kuihoji serikali.
Rais @SuluhuSamia awali nilidhani mmemteka na kumficha Deo Soka kupisha na kupitisha tarehe 26 Agosti. Nilidhani pia Frank Mbise na Jacob Mlay walipata collateral damage kwa kuwa mashuhuda na mashahidi wa utekaji huo haramu.
Lakini sasa baada ya maamuzi ya Spika Tulia Bungeni, kauli ya Serikali kupitia Waziri Masauni na maamuzi ya jana ya mahakama juu ya habeus corpus yao ni wazi utatu wa udhalimu umetamalaki katika dola unayoiongoza. Hii ni dalili mbaya juu ya haki ya kuishi ya vijana hao watatu na ya wengine wakiwemo Chaula na Dioniz Kipanya.
Wewe ni mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu kauli yako kuwa utekaji ni drama, ukimya wako juu ya haya yanayoendelea na mnyororo wa matendo ya udhalimu ya vyombo vya dola yanatoa taswira hasi kuwa utekaji na utesaji unaoendelea ukiwemo tuliofanyiwa Mbeya tarehe 11 Agosti 2024 una baraka zako. Hali hii na maandalizi ya hujuma yanayoendelea kufanyika juu ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ni kaburi kwa falsafa uliyoipigia upatu ya 4R. Unafiki na udhalimu huu ni chukizo kwa Mungu unayejinasibu kumuamini.
Nimekosa mfano wa haraka wa kwenye Quran na hadith wa kukupa leo. Lakini unaweza kujifunza kwenye kisa cha Herode na Yohana Mbatizaji: jela na mauaji hazijawahi kuwa zana zenye mafanikio ya kudumu katika kudhibiti ukweli na haki.
Nakuomba kwa jina la Mungu jirudi na irudishe nchi katika mwanzo na mwanga wa kutekeleza kwa ukweli na haki 4R. Elekeza vyombo vilivyo chini yako viwaachie vijana hawa. Rudisha nchi katika furaha na matumaini yaliyoanza kuangaza Mwenyezi Mungu alipofungua ukurasa mpya katika nchi yetu Machi 2021. Ipokee sauti ya watu kama unavyoipokea Sauti ya Mungu wa Haki.
Jana kuna mdogo wangu wa kufikia kaniambia maneno muhimu sana:
🔥 IBLIS kawa SHETANI kwa sababu ya KIBURI. Alivyoambiwa na Mola wake amsujidie Binadam alikataa na hakubadilika!
EVIL people hawabadiliki! Hata ufanyeje wakishaamuwa hawatobadilisha MAAMUZI OVU.
SSH si EVIL.
Kama hizi kelele za watu kutekwa tena hd baadhi kuvihusisha vyombo vya dola moja kwa moja na kutaja majina na maeneo lakini yeye kama RAIS tena mama mwenye familia na hajatoa kauli yoyote unataka abadilikeje dada mkubwa..
Jana kuna mdogo wangu wa kufikia kaniambia maneno muhimu sana:
🔥 IBLIS kawa SHETANI kwa sababu ya KIBURI. Alivyoambiwa na Mola wake amsujidie Binadam alikataa na hakubadilika!
EVIL people hawabadiliki! Hata ufanyeje wakishaamuwa hawatobadilisha MAAMUZI OVU.
SSH si EVIL.
Kwani spika wa bunge si yuko upande wa wabunge(bunge)Mbona huyu anaitetea serikali tena maana apo swali kaulizwa (w)Mkuu yeye kalidaka na kamtaka asijibu bali atolee maelezo which is not fair kwa yy kama Spika wa bunge daahh..
Hoja ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ikiwemo watoto imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest kutaka mkakati wa Serikali kukomesha matukio hayo aliyodai baadhi yanahusishwa na vyombo vya dola.
Leo Alhamisi, Agosti 29, 2024, hoja hiyo imeibuka bungeni wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu, baada ya Anatropia kusema matukio ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu yanaashiria uvunjifu wa haki za binadamu.
Amesema matukio hayo yamekuwa na sura tofauti tofauti ikiwemo wivu wa mapenzi na ushirikina.
“Lakini na matukio mengine ya kutekwa na kupotea kwa watu yanahusishwa na vyombo vya dola. Nataka kufahamu mkakati wa Serikali kuzuia matendo haya lakini kuondoa taharuki ambayo inajitokeza katika jamii,” amesema.
Hata hivyo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kabla ya kumpa nafasi Majaliwa kulijibu swali hilo, amesema juzi Jumanne Agosti 27, 2024 alisimama Mbunge wa Nkasi Kaskazini (Chadema), Aida Khenani akazungumzia suala hilo.
Amesema mambo hayo yanayohitaji uchunguzi:“Leo asubuhi nimesoma kuna mganga amezika watu sijui 10 na ngapi, sasa huyu mganga ni polisi ambaye watu ameuawa na wamezikwa kwake.”
Soma zaidi katika tovuti ya Mwananchi
(Imeandikwa na Sharon Sauwa)
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Kwa nyakati tofauti Mungu huinua ujweli kubariki Taifa.
Huu ni ushuhuda mwingine.
Je wengine hawajui haya?
At least Mhe @HKigwangalla aliamua kuivaa sura ya utu na Haki kwenye suala la Ngorongoro tofauti na Mawaziri wote waliowahi kuongoza wizara ya MaliaAsili na UTALII.
Do you know how to read an entire thread and fully understand it? Because based on your tweet, it seems you're stuck on a single triggered line, missing the bigger message. Let me add the last thread. I'm on my way, and I hope my response doesn't come across as too harsh.#mixofusng
The ending of the movie didn’t make much sense to us at first why did they leave Rudy only to end up staring at the ship? But with the new trailer, it all makes sense why that last scene was included. It’s hard to predict exactly what will happen, but I suspect we’re in for another war where Rudy might emerge as the new messiah, destined to save not just his forest but all the people. The prophecy seems to be in motion, as we saw how Rudy escaped, killed those warriors, and still managed to save his family. It’s a testament to his value, and with the little girl already hinting at what’s coming, those two last warriors will likely report back home about what they witnessed. This movie is one to enjoy, and I’ll be waiting to review it when it comes out in 2025. #mixofusng
But despite all the hype back then, several aspects of the movie felt off. How did Rudy manage to escape the jaguar from the tree? All we saw was the jaguar roaring and chasing after him, yet it still couldn’t catch Rudy, who was already half-exhausted. I understand the narrative of the last breath, but they could have made it more believable. Secondly, the timing of the moon crossing over the sun to create the eclipse was too fast. The time it took for the priest to react to something they rarely witnessed didn’t seem to connect properly. I’ll leave that for astronomers to confirm. However, looking back now, compared to some movies, I would still rate this film higher than many on Tubi, but...#mixofusng
Mel Gibson did an outstanding job directing "Apocalypto." The narrative of Jaguar Paw and Rudy running for their lives might distract some viewers from fully grasping the deeper themes of the film. Additionally, it’s interesting to note that while the movie was being shot in southern Mexico, severe flooding affected at least a million people. For those who don’t fully grasp what the world was like in 2006, this film offers a unique perspective on what was tolerated in cinema back then things that likely wouldn’t be allowed in today’s movies. The male and female casting in the presence of young children, aimed at showcasing a glimpse of Mayan culture, left the world in awe. It's doubtful we’ll see such scenes in movies again. #mixofusng
Most Gen Z might not be familiar with the movie "Apocalypto," a historical film that made a global impact when it was released. Although the movie is a fictional portrayal of Mayan culture, it offers a glimpse into their language and traditions something we haven't seen much of in cinema since then. With the new trailer for its sequel set to release in 2025, I felt it was the perfect time to revisit this classic. If you haven't seen it before, it's definitely worth a watch. Let me share a few reasons why you might want to sit down and experience it for yourself. #mixofusng
Hatua muhimu ya kutuma ujumbe kwa hawa “Bongo celebraties” ni kuacha kujichekesha katika mambo yao. Uso wa mbuzi. Unsubscribe kwenye YouTube channel zao. Unfollow kurasa zao. Wanyimeni pesa zenu. Hadi waanze kusimama na umma. Hao ni wapambe wa wahuni wanaotuteka na kutupoteza.
Hatua muhimu ya kutuma ujumbe kwa hawa “Bongo celebraties” ni kuacha kujichekesha katika mambo yao. Uso wa mbuzi. Unsubscribe kwenye YouTube channel zao. Unfollow kurasa zao. Wanyimeni pesa zenu. Hadi waanze kusimama na umma. Hao ni wapambe wa wahuni wanaotuteka na kutupoteza.