Nimetengeneza Mfumo wa Hotspot ISP billing System using ChatGpt Pro and Claude
Payment system:Snipe
Hosting : Microsafi
Domain : Namecheap
Device : TPLink Omanda
Watu hawataki kujua wewe ni Vibe Coder au Pro Coder wanataka Matokeo
Endelea kusema Mimi ni Pro na huna Product.
Watu wengi wanataka kujenga personal brands.
Lakini hawataki kufanya marketing.
→ Hawa post consistently.
→ Hawashiriki insights/takes/tips.
→ Hawaonyeshi expertise mbele ya audience.
Ukweli ni kwamba...
Usipo onekana huwezi kukumbukwa— show UP.
Nimewahi kuambiwa...
Fanya juu chini ujulikane kwa idea fulani.
Yaani mtu akitaja tu hiyo idea audience wakuhusishe nayo bila kufikiria mara mbili.
Hapo unakua umekaa mkao wa ku-monetize kupitia brand yako safi kabisa.
M-Pesa Visa Card unaweza kuitumia kulipia subscription mbali mbali online.
Uzuri hauwezi kukatwa automatically, maana pesa itakuwa M-Pesa tofauti na Card zingine
Jinsi ya kuitengeneza hatua kwa hatua, ruka na hii makala: https://t.co/dxEfzkW64F
Kuna siku nilikua nasikiliza interview ya creator alie fanikiwa sana kwenye niche yangu.
Nilitegemea kupata siri kubwa.
Lakini alichosema kilikuwa simple:
“Nimeepuka makosa mengi kwa kusikiliza watu walionitangulia”.
Hii ilikua tip iliyobadili game yangu big-time...
Telegram has applied for the .gram domain zone.
If the application is approved by ICANN, a billion Telegram users could get their own second-level domains — yourname.gram.
Users would be able to set up their interactive websites hosted by Telegram — with one prompt ✨
Mbobezi wa IT @The_Mizani na wengineo wengi
Habari ya kazi ?
Hapa nina Lenovo Thinkpad l13 gen 2 yoga
Core i5 11th
Ram 16gb ssd 256gb
Pembeni na Hp Elitebook 735 g6
Amd ryzen 5
Ram 8gb ssd 256gb
Ipi inafaa .
Mimi nikiwa kama Graphic Designer wa kuchemsha
KANUNI YANGU YA MAISHA
SIWEZI KATAA CHAKULA CHA AINA YOYOTE ILE
NIWE NA MAISHA MAZURI AU MABAYA
ENDAPO TU KINATAFUNIKA MIMI NAKULA
SIWEZI KUKATAA CHAKULA CHOCHOTE KILE KATIKA HII DUNIA HATA NIWE KATIKA HALI YOYOTE ILE
LETA DIKO NILE MENO SIO MAPAMBO KAZI YAKE NI KUTAFUNA
Baada ya muda mrefu kupita, leo nimeingia soko la HISA kuangalia hisa zangu.
Itoshe kusema tutafute sehemu nyingine ya kuwekeza.
Lakini kama unataka kutunza hela DSE ndo mahali pake.
The future belongs to builders, creators, and problem-solvers.
Every person should inherently know how to start something, sell something, and create value.
Entrepreneurship is not a business class.
It is a life skill.
@miracleboytz Mtu awaye yote yambidi asijifunze 1,2,3 bali ajifunze
4. Alipofeli.
5. Alipofanikiwa.
Huwezi kuwa wao, wewe ni wewe hakuna mwingine kama wewe.