Tanzania corruption fight is like having a traffic bottleneck of which everybody is aware of but not interested to clear it as we focus away from the real battle.
The day we decide to clear and deal with Sattarn, Tanzania will be released from the bondage of modern day slavery.
Vitol yuko na nani?
Nani wamempa tenda ambayo Watanzania wanauziwa mafuta kwa usd 200-260 wakati Uganda anauziwa usd 83 na Msumbiji anauziwa usd 90.
Hawa Namaro waliosajiliwa Dubai mwaka 2023 ni kina nani? Wana uhusiano gani na wizi huu mkubwa unaoumiza Watanzania.
Vyombo vya habari Tanzania kwanini hamfuatilii na kuandika huu ujambazi unaongamiza Nchi kwenye wizi wa mafuta..
TPDC kwanini hawakutoa tenda shindanishi katika suala kubwa kama hili la mafuta.
Mfalme Sauli alikuwa mtu kipande, mzuri lakini alikuwa anajiona ndani mdogo sana. Hata baraka zilipomjia kwa kasi badala ta kumsaidia zikaanza kumwendesha vibaya. Akakosa self control wala kiasi. Wala wadogo/duni ndani huwa hawawezi kustahimili kiwango fulani cha baraka. Akapoteza nafasi ya baraka kubwa kwa sababu ya kukujiona mdogo ndani.
@Buchi_Laba This is the kind of illegal conduct City has been getting away with for years. They’ve allegedly committed numerous football-related financial and regulatory violations, yet they continue to avoid punishment while other clubs are held accountable.
@sparkliin Enzo Maresca will surely resign at City if Madrid approaches him in the mid of the season, and he start by spitting words like I have had a very bad week, I felt unsupported, blah blah