"Sisi Hatupendi sifuna ati kwa sababu ni mluyha , tunapenda sifuna kwa sababu ametuhakikishia sisi kama Wakenya ya kwamba akipata nafasi ya kua Rais ataongoza nchi hii kwa misingi ya kikatiba"
~Obed Mwale Mahanga Deputy county speaker and Incoming Senator Trans Nzoia County.