When I grow up nataka nikuwe kama huyu Julius Kamau. Nataka nisumbue serikali hadi ifike mahali wachoke na mimi na waache kunishika buana.
Unajua Kamau sometimes anamkanga hivi anaambia bibi wacha aendee maziwa ya kupika chai. Hapo tu kwa gate anaona kitu mbaya na hii serikali anaingia cyber anaprint posters zake na anatokea maandamano yake akiwa solo.
Bibi atamuona jioni kwa news akiwa amebebwa hobelahobela na askari😂
Unafaa kutoa lock na poko kwanza coz they won’t judge your performance .. After you’re confident that you’ve regained full match fitness, you can now start playing in competitive matches.
Carry yourself like a professional player coming back from a 12 month ACL injury.