Unapima Mara kwa Mara? Hivi Ndio Vipimo Muhimu Unavyopaswa Kufanya—Lakini UKIMWI Haipo Kwenye Orodha!
Leo nakuletea vipimo 7 muhimu unavyopaswa kufanya mara kwa mara ili kuhakikisha afya yako iko imara. Na mwishoni, nitakueleza kwa nini kupima UKIMWI si kipaumbele kikubwa katika listi hii!
THREAD: ⤵
Sisi kigoma tunaita Mwino hii inasaidia mtoto kumsafisha tumbo na kumuepusha na bawasiri, hii hadi watu wazima tunatumia ni moja ya dawa nzuri sana and high recommended maana hurekebisha pia heshima ya ndoa