Watu wa hivi ukipata changamoto alafu ukaivuka vizuri bila mkono wao huwa wanaumia sana.
Mungu aendelee kuwa upande wetu tuu ๐ maana walimwengu ๐๐
Good morning familia na muwe na jumapili njema na yenye baraka zake Muumba wetu.
@officielsalome Kuna watu wanapenda kuabudiwa wanapenda kuona wenzao wanawalilia wao kila siku kama vile ndo Mungu wao yani wanatamani kila mkwamo wao ndo wawe suluhu ๐
Mungu atusaidie sana aisee tuweze kuzimudu shida zetu walau kwa asilimia 80+
Nilimkataa kitambo huyu snitch na akae akijua kapata hater mmoja matata sana
Nitakuwepo kwenye kila anguko lake na kila chozi lake litakua furaha kwangu
Na atafukuzwa tu, swala la muda ๐ค๐พ
๐จ๐ฉต Enzo Maresca: โI want us to win, play good football, enjoy the pressure of representing Manchester Cityโ.
โThis will be my third spell at Man City. I cannot wait to start coachingโ.