The society has tried all it can do describe all the man abilities and deeds in a simple sentence" Have&give Money 💰".As the value of Man is measured through money.
Keep chasing , keep on improving ur systems , keep it burning 🔥 work hard
Drawdowns should be considered in terms of progress too…
If u could have gained same as the extent of drawdown could u have stopped … then NO
Keep it burning 🔥
Jambo la Muhimu nyakati za kupoteza ni kujipa utulivu {Stay Calm},ulione tumaini kubwa kuwa nyakati za kupoteza Mungu hapendi ziwe kwetu na zaidi atakupa wakati mwingine wa kupata zaidi ya ulichopoteza
Got to stand alone on judgement day.
Got to live again In life after Earth.
Rise and falls in pursuit of salvation.
In the end ‘’I BELONG TO JESUS’’
#2026_Jesus_In_the_first_Place
Its important that you keep getting better day by day.
Learn how to allow God improve your ability in your area of profession.
With God we never run out of energy we keep dreaming and seing dream come true.
Respecting the precessor as u become the successor of their work.
"SIMPLY REINVENTING THE WHEEL"
Intergrating the Old strategies into one hybrid simpler effective system.
#Always_be_Daring. ABD
TAFAKARI YA JUMAPILI: HABARI YA NABALI NA ABIGAILI, JIFUNZE KABLA HAUJAHARIBIKIWA.
“…._Na jina la mtu huyo aliitwa Nabali na jina la mkewe aliitwa Abigaili, na huyo mwanamke alikuwa MWENYE AKILI NJEMA, MZURI WA USO bali yule mwanamume alikuwa HANA ADABU, tena MWOVU katika matendo yake….” (1 Samweli 25.3).
Nabali alikuwa tajiri, maarufu na mtu mwenye pesa. Alijipatia mke mzuri sana ila pia mwenye akili.Mwanamke huyu alimsaidia kulinda utajiri wake, kumuepusha na majanga na kumsitiri udhaifu wake.
Somo 1: Unaweza kuwa mwanamke MZURI na MWENYE AKILI, ila hiyo haikupi “guarantee” ya kuolewa na mtu ANAYEJITAMBUA. Anaweza kuwa na KAZI, MALI na PESA ila akawa mtu wa HOVYO atakayekufanya usiishi kwa AMANI.
Somo 2: Mwanaume akishakusanya MALI na PESA, atahitaji kuwa na Mwanamke mwenye AKILI na HEKIMA ili amsaidie kuzitunza. Abigaili angekuwa mtu asiyejielewa, utajiri wao wa familia ungepotea siku moja tu. Alifanya “MISSION” ya kuokoa utajiri wa kifamilia kwa kutumia AKILI SANA. Uzuri ni muhimu ila inabidi AKILI nayo iwepo.
Biblia inaposema uishi na mwanamke kwa akili, inamaanisha pia na yeye ana AKILI; unatakiwa UZITAMBUE na UZITUMIE.
Somo 3: Kama NABALI hakuthamini haimaanishi hauna thamani. Ukiangalia utaona kabia Mume wa ABIGAILI hakuwa anathamini MAWAZO na MCHANGO wa ABIGAILI. Ila baada tu ya KUFA, basi DAUDI aliamua kumuona FASTA. Maana yake, usipotumia ULIYENAYE, kuna siku atachukuliwa na wanaoona thamani yake.
Somo la 4: Inahitaji UNYENYEKEVU kuishi na mwanaume kama NABALI. Sijui ABIGAILI alipenda nini kwa mumewe, inawezekana mali au pesa au kingine chochote. Ila gharama kubwa aliyohitaji kuingia ni UNYENYEKEVU. Yaani ilibidi ASHUKE chini ili ASAIDIE MUME wake asiaibike. Tena HAKUTANGAZA hata baada ya kufanya. Watu walimuona ABIGAILI anaenjoy sana kwa sababu ya UTAJIRI wao, ila alikuwa ana changamoto kubwa na za kila siku.
Ukiwa NABALI unamuhitaji ABIGAILI, ila ukiwa ABIGAILI jifunze njia bora ya kuishi na NABALI. Kama bado haujaingia kwenye MAHUSIANO, jitahidi kumuepuka NABALI.
Nakutakia Jumapili Njema.
See You At The Top
Joel Arthur Nanauka
#TIMIZAMALENGOYAKO
Kama wikendi yako mpaka mda huu haieleweki-Hakikisha unaangalia hizi video 20 nimekuwekea uchangamshe mbavu 😂
Usifungue hizi video kama hupendi kucheka 😎
Twende kazi .