@Arcfunmi Why architectural design presentation instead of project presentation? Coz inside you've all the architectural drawings (interior + landscape) and other services dwgs i.e structural, electrical.... Just a suggestion.
@Labella_Mafia95 Katika msingi wa tasnia ya ujenzi USA kuna mfumo thabiti wa udhibiti, unaotumika kama msingi wa usalama na ubora katika mazoea ya ujenzi. Misimbo ya ujenzi, viwango vya usalama, na kanuni za utendaji zimeundwa kwa uangalifu ili kuhakikisha uadilifu na utiifu wa miundo mbinu.
@Labella_Mafia95 Ni kwasababu ya kitu kinaitwa "building regulations, codes, standards and practices......" Wataalamu wa ujenzi na mipango miji wanaelewa hiiCc Tanzania tunafua kanuni nyingi za waingereza (British Standards). Sasa kwa wenzetu huko ni "lazima" kuzifuata ndo maana mambo yamenyooka
@andrewerasmii Ivi kwenye taasisi za maji huwa tunalipa bill za nini! @dawasatz Maji hayatoki karibu kila siku lakini bill kama kawaida inakuja ya kutosha. Sawa hiyo sio shida kulipa bill, bill ikilipwa izo fedha mnafanyia nini maana ata maji yakitoka ni matope kabisa. DSM hakuna majisafinasa..