@Chahali Kuna utani husema wandamba wanapenda samaki kiasi kwamba wakila samaki wanameza mzima alopikwa wanamchakata ndani ya kinywa huku mifupa ikitoka yenyewe pembeni ya mdomo😀😀😀😀
Mdogo wangu alimaliza form four 2024 nikampeleka chuo mwezi 11, 2025 amekaa chuo miezi miwili tu anataka kuacha chuo aje mtaani. Kama kaka nimeumia sana nimetumia gharama nyingi mno, niseme tu madogo wa siku hizi akili hawana na hawana uchungu na hela za mtu😥😥
@MiriamMkanaka Ongea kimoyo moyo…. Unakuwa unapiga ile American English ya ndsni ndsni huko yaan english inatoka imesimamia kucha. Sasa anza kutoa sauti sasa …yuno, akchuale, ofukozi, jasti imajini, eeeeh ….. chaliii
@MiriamMkanaka Shida tulio wengi tunawaza kwa lugha nyingine ila sasa mazingira yanakuwa yanataka tutumie kuongea lugha nyingine ….. hapo kuna ka process ka kutranslate… ukifanya direct translation ndo utapata hiyo i can take you with me and leave / live (sijui ni ipi aliyomaanisha) with you