@Gitz__@maktejah_ Riggy g ni the real OG...huyu msee akikwambia ni saa nne asubuhi na ni p.m amini tu..ata mossad hawananga intel kama ya gachagua baana😆😆
@iamjuddah@Kimuzi_ Vigeugeu na watapeli pro max na wanajua kukimbia kikiumana🏃🏼..😂😂i hope morara hataanza kuvaa hako kakofia🤠🧢..umbwa mimi😂😂 #KufaDerevaFukaMakanga
@BravinYuri Sikujua huyu msee ni eloquence ya queens language ako nayo tu..akili ni kama iliwachwa kwa murima sinai alipanda vizuri akishuka akasahau nayo..now i know😂😂..