@SimbaSCTanzania Sisi bado tuna kinyongo kuna wachezaji watatu kazi yao kufunga. Lakini awafungi viwango vyao vimeisha bado mna wang'ang'ania wanini awana faida na club ya simba
@SimbaSCTanzania Hivi wachezaji wetu wasimba hampewi mafunzo ya kupiga penati? Mechi ya kwanza na biasharaha mlikosa penati ya muhimu tukazikosa point tatu jana tenaπππ