Azam wametumia zaidi ya $200000 sawa na sh milion mia 480 kumsajili mchezaji hatari Gibril Sillah huku mchezaji huyo akisaini kandarasi ya miaka 2 yenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja.
mchezaji huyu amewahi kuhitajika na simba misimu 2 iliyopita lakini simba walishindwa bei
@Cyancuty Itakua kuna namna ulivyojiweka,,, km mtu unajiheshimu na unasimama kweny misimamo yko hata pakuanzia atakosa,,, mpaka anakutongoza kuna mazingira rafiki kayaona
โจ MATCHDAY โจ
๐ Zurich
๐๏ธ Kybunpark (Switzerland)
๐ Saa 1:45 Usiku (19:45)
๐ Europa League
Leo kimataifa ๐ฅ๐ฅ๐ฅ,,,,,,,,,,!!!!!
#arsenal#europaleague#matchday#coyg
Maitland Niles amekamilisha kuhamia Southampton, vipimo teyali na mikataba itasainiwa sasa na Arsenal.
Amesaini mkataba mpya na Arsenal mpaka mwezi wa sita 2024 na kutolewa kwa mkopo Southampton kwa kipengele cha kumnunua.
#arsenal#transfernews#coyg
Arsenal XI vs. Aston Villa: Ramsdale; White, Saliba, Gabriel, Tierney; Sambi, Xhaka; Saka, รdegaard, Martinelli; Jesus.
Arsenal subs: Turner, Cedric, Tomiyasu, Holding, Smith, Vieira, Smith Rowe, Marquinhos, Nketiah. #arsenal
๐จ MATCHDAY
๐ Aston Villa
๐๏ธ Emirates Stadium
๐ Saa 3:30 usiku (21:30)
๐ EPL
MAJERUHI: Partey na Elneny imethibitika hawatakuwepo leo. Zinchenko alikuwepo mazoezini jana hivyo kupangwa ni juu ya kocha.
Tunahitaji points zote 3 leo,, kuongoza ligi ni raha sana au hamuoni ๐
FULL TIME: Bournemouth 0-3 Arsenal
โฝโฝ Ordegaard
โฝ Saliba
Oyaaaa hii Arsenal ๐ฅ๐ฅ๐ฅ!! Kuna timu zinatamani zisikutane na cc ๐๐
#arsenal#coyg
๐จ MATCHDAY
๐ Leicester
๐๏ธ Emirates Stadium
๐ Saa 11:00 jioni
๐ EPL
Mechi yetu ya kwanza tukiwa Emirates stadium msimu huu (EPL). Come on you Gunners ๐ช๐ฝ๐ช๐ฝ
Rasmi, imethibitishwa. Pablo Mari amesaini mkataba kama mchezaji mpya wa Monza- Dili limeshasainiwa na Klabu. (Mkopo wenye kipengele cha kumnunua moja kwa moja)
Monza watalipa mshahara wote, kisha Arsenal itapokea โฌ5/6m ada kama Monza watabakia Serie A msimu ujao.