@FKihamu Wewe na huyo profesa wako wa kufikirika mnataka kuwafunza watu unafiki,yaani mnataka aseme uongo ikiwa kwake hajaona mtu wa kumuangalia kma mfano ktk team husika.....!!!??
@shaffihdauda1 Shida yako ilikuwa uwasilishaji inakuaje utumie neno dharau..! kulikuwa hakuna neno lingine au kulikuwa na haja ya kusema inawadharau wanachama na mashabiki zake!? wewe ungesema tu kuwa mwaba hastahili kuwa pale mpaka watakapo declare na hapo usingeona watu wakiku attack.....
@shaffihdauda1 Anaetaka kujua ni wewe na sio sisi mashabiki usitushirkishe katika shauku yako binafsi tuache tuenjoy ushindi wa hizi mechi chache zilizopita hatuko na wewe sisiπ