In old age, a woman finds joy in the children of her youth, just as a man finds his in the wealth of his younger years
Uzeeni, mwanamke hupata furaha kwa watoto aliowazaa, ikiwa mwanaume anapata kwenye pesa alizotengeneza ujanani!
KILAMTU ANAJUA CHA KUPAMBANIA🤣
You’re a man.
Never sleep with a married woman.
Never sleep with your coworkers.
Never sleep with your friend’s ex.
Never sleep with your brother’s girlfriend.
Never sleep with a woman you don’t trust.
A night of pleasure can cost a lifetime of regret.
Tumetunukiwa cheti cha Superbrand kama taasisi namba mbili yenye chapa kubwa nchini na namba moja kwa taasisi zinazojihusisha na michezo.
Cheti hiki kimetolewa na Superbrands East Africa baada ya kufanyika utafiti kwa kushirikiana na shirika la utafiti la IPSOS. Taarifa zaidi ingia Simba App. #WenyeNchi #NguvuMoja
@CrownMediaTZ Sambamba na hilo: Kuziba mianya ya rushwa na upendeleo pamoja na Ufumbuzi wa ufujifu wa kodi zetu mfano; kuanzisha idara ya tathimini kwa kila LGAs, etc itatoa motisha kwa walipakodi na kunusuru nchi kuwa ombaomba.