Eneo la Uwekezaji la Bagamoyo linaendelea kuvutia uwekezaji mkubwa wa viwanda, ambapo kampuni ya SINOVEST kutoka China inajenga mradi wa viwanda wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 10. Tanzania ni salama kwa uwekezaji.
Wanaharakati waliiaminisha dunia kwamba chadema ilikataliwa kushiriki katika uchaguzi lakini ukweli ni kwamba wao wenyewe waligoma kukubali kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi.
Hakika hili ni swali la msingi sana kujiuliza
Tundu Lissu alijiamini nini kusema uchaguzi hautofanyika wakati yeye na chama chake hakikuwa kwenye orodha ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu?
Kila kilichotokea OKTOBA 29 kilipangwa na waliopanga wanajulikana.
Septemba 1, 2025 taasisi ya Maria Sarungi ya kutoa misaada inayofahamaika kama Mwanzo Org ilipokea dolla za kimarekani 600,000 kwa ajili ya kusaidia jamii ya LGBTQ nchini Tanzania.
Bado mnajiuliza walitoa wapi hela kufanikisha machafuko ya Oktoba 29?
Mwezi Machi 2025, Pawa254 inayomilikiwa na mwanaharakati wa Kenya, Bonifance Mwangi ilipokea dola za kimarekani 200,000 ( Sh.milioni 523.6)
Miezi miwili baadae akaingia Tanzania akitaka kwenda kwenye kesi ya Lissu.
Sote tunajua kilichotokea.
Eneo la Uwekezaji la Bagamoyo linaendelea kuvutia uwekezaji mkubwa wa viwanda, ambapo kampuni ya SINOVEST kutoka China inajenga mradi wa viwanda wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 10.
Tanzania ni salama kwa uwekezaji.
Februari 26, 2022 akihutubia Dubai Expo 2020, Rais Samia Suluhu aliiambia dunia Tanzania ni salama kwa uwekezaji.
Juni 5, 2026 akihutubia Kongamano la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg aliweka wazi nia ya Tanzania ya kuendelea na kukaribisha uwekezaji.
Tanzania ni salama.
📍 Mtwara
Uchorongaji wa visima viwili vya gesi asilia, kati ya vitatu katika Kitalu cha Mnazi Bay umekamilika.
Watanzania 320 wameajiriwa, huku kandarasi za TZS bilioni 20 zikitolewa kwa kampuni na watoa huduma wa ndani.
Tanzania expects to attract investments and business worth more than $2 billion (about TZS 5.2 trillion) from Russia over the next three to five years, following President Samia Suluhu Hassan’s recent state visit.
Serikali inachukua hatua mbalimbali kuwezesha maendeleo ya teknolojia ili kukidhi mahitaji ya jamii.
Ziara ya Rais wa Singapore nchini itaongeza tija kwenye eneo hilo, ikiwemo kuvutia uwekezaji na fursa za mafunzo, kutokana na nchi hiyo kupiga hatua kwenye sekta hiyo.