MMEFANYA JAMBO KUBWA KUTOKA NA KUTEMBEA KWAAJILI YA IMAM HUSSEIN A.S / Sheikh Hemedi Jalala
Khutba Full Bofya Link
https://t.co/VUbjXfrIvf
๐ฒ Jiunge nasi kupata kunufaika zaidi:
๐https://t.co/pr5mx3TScU
๐https://t.co/gnpRAmB436
Kisha bofya kitufe cha Follow. kujiunga
#KIGOGO 26/06/2026
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania TIC Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge Ameshiriki katika Matembezi ya Amani ya Kumbukizi ya Kumuomboleza Mjukuu wa Mtume Muhammad s.a.w.w Imam Hussein a.s aliyeuliwa karbalaa kidhalimu.
#KarbalaaNjiayaUhuruwaFikra
Tangazo la Uchangiaji Damu.
Changia Damu, Okoa Maisha
Siku ya kesho Jumatano
Saa 4: 00 Asubuhi
Mahali; Masjid Ghadiir, Kigogo Post
Nyote Mnakaribishwa.
DARASA LA USIKU
https://t.co/jm2ZX374BY
07 MUHARRAM 1448
๐ MADA: UHALISIA WA USHIA
Katika Darasa hizi utapata kuelimika na kujifunza ni nani Mashia na Ushia Kwa ujumla na Dalili za Wazi Juu ya Ushia.
Darasa hizi sipo Kila Siku Usiku Baada ya Magharibain
Masjid Ghadiir Kgg
MAJLIS BILAL TEMEKE
*MADA: NI VIPI TUTAMJUA IMAM MAHDI A.S*
*___________________________*
MUHARRAM 1448-2026
*22 JUNE MWAKA 2026.*
*Uislamu umesimama kupitia mafundisho ya Bwana Mtume (S.a.w.w) pamoja na Ahlul-Bayt (a.s.) zake.*
#TemekeBilal#TICTaifa#AsadiqMedia
DARASA LA USIKU
https://t.co/W1qaF7IRP3
06 MUHARRAM
๐ MADA: UHALISIA WA USHIA
Katika Darasa hizi utapata kuelimika na kujifunza ni nani Mashia na Ushia Kwa ujumla na Dalili za Wazi Juu ya Ushia
Darasa hizi sipo Kila Siku Usiku Baada ya Magharibain
Masjid Ghadiir Kigogo post
MAJLIS YA MCHANA
*MAJLIS YA IMAM HUSSEIN NA MAISHA YAKE*
*___________________________*
MAJLISI ZA KUMBUKUMBU YA YA TUKIO LA KARBALA_MUHARRAM 1448-2026
*21 JUNE MWAKA 2026.*
Maulana Sheikh Jalala akisoma majlis ya Imam Hussein a.s leo hii, .*
Majlisi hizi sipo Kila Siku.
DARASA LA USIKU
Tarehe 20/06/2026
๐ MADA: UHALISIA WA USHIA
Sheikh Jalala alichaguliwa Mada hii kutokana na kuwepo kwa upotoshaji kuhusu Ushia na Mashia katika jamii zetu na duniani kwa ujumla.
Katika Darasa hizi utapata kuelimika na kujifunza ni nani Mashia na Ushia.
MAJLIS YA MCHANA
*___________________________*
MAJLISI ZA KUMBUKUMBU YA YA TUKIO LA KARBALA_MUHARRAM 1448-2026
*19 JUNE MWAKA 2026.*
Maulana Sheikh Jalala akisoma majlis ya Imam Hussein a.s leo hii, katika Majlisi ya Maadhimisho ya: *Tukio LA Karblaa*:
DARASA LA USIKU
๐ MADA: UHALISIA WA USHIA
Sheikh Jalala alichaguliwa Mada hii kutokana na kuwepo kwa upotoshaji kuhusu Ushia na Mashia katika jamii zetu na duniani kwa ujumla.
Katika Darasa hizi utapata kuelimika na kujifunza ni nani Mashia na Ushia Kwa ujumla.
#KIGOGO POST 17/06/2026
Samahat Sheikh Muhammad Naibu Mudiri wa Hawzat Al-Imam Swadiq (a.s), ameongoza zoezi la upandishaji wa Bendera ya Imam Hussein (a.s), ikiwa ni ishara rasmi ya kuanza kwa maadhimisho ya mwezi mtukufu wa Muharram 1448 Hijria sawa na mwaka 2026.
Waislamu wakitaka ushindi wakamatane na neno moja tu.! ูุง ุฅูู ุฅูุง ุงููู ู ุญู ุฏ ุฑุณูู ุงููู
Jiunge leo Kupata kunufaika zaidi..
https://t.co/pr5mx3TScU
Jana ni historia, kesho ni fumbo, leo ni zawadi ya Mungu, Ujifunze sasa.
Samahat Sheikh Mohamedi Abdi
Jiunge leo Kupata kunufaika zaidi..
https://t.co/pr5mx3TScU
Siku ya Quds Dunia
Qibla cha kwanza kwa Waislamu
Kesho Ijumaa saa 1:30 asubuh
Ilala Boma- Uwanja wa Pipo karibu na Masjid Ghadeer kigogo post Dar es salaam.
Dunia bila Vita Inawezekana
Quds Bila Vita Ni Ishara ya Amani
Nyote mnakaribishwa.
#qudsbilavitaisharayaupendo
Siku ya Quds Duniani
Jumuiya ya Shia Ithna'asharia Tanzania T.I.C Chini ya Sheikh Mkuu Maulana Hemedi Jalala Mwakindenge Leo Tarehe 12/04/2023 imeandaa Semina ya Quds Duniani iliyowajumuisha Masheikh na Maimam wa mkoa wa Dar es Salaam Takriban 350.