📍UVCCM IRINGA
APRILI 24, 2022
KONGAMANO
Katibu Mkuu UVCCM, Ndg. KENANI KIHONGOSI atakuwa mgeni rasmi katika kongamano la Vijana kuhusu👇🏿
🚨Faida za kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Chama na Jumuiya zake.
🚨Umuhimu wa Sensa
#UVCCMTZ@uvccm_tz
My friend from Malawi, Mr Sadrick . Yet, he is one of the best followers and admires of our President Hon.S S H. He learns more from CCM, the ruling and most powerful party ever here in Tanzania 🇹🇿 and Africa.Welcome to Tanzania, the country where Peace and love dwell
Unapokaa na kundi la wazee/watu wazima
Penda kuwa mkimya na makin katika kusikiliza Punguza matumizi makubwa ya mdomo na ongeza umakini wa masikio na macho vile vile
Ni vyema sana kuwa na nafasi kubwa sana ya kujifunza kuliko kuwa na nafasi kubwa sana ya kuonesha kujua mno
🌳🦅
CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA).
UCHAGUZI MKUU SUASO 2021/2022.
Ngazi ya Rais SUASO
Kila la heri kwa wagombea Ngazi zote. Wanasuaso tunasubiria hoja na sera zenu tufanye maamuzi sahihi.
Pongezi nyingi kwa Tume ya uchaguzi chini ya M/kiti wake Ndg. Benard Nyitamboka Maro.
".Mojawapo Ya Matatizo Makubwa Tulionayo Ni Walio Madarakani Kudhani Madaraka Yanawapa Akili Na Busara Kubwa Kuliko Wenzao Wasio Madarakani. Ni Kama Vile Kuna Imani Kwamba Unapokua Madarakani Huna Lolote La Kujifunza Kutoka Kwa Watu Wasio Madarakani."
Jenerali Ulimwengu
🧠🧠
@Adventure_36 Sio lazima ni utashi wake kuchagua Chama Cha siasa apendacho. Au kuacha kabisa kujihusisha nazo,japo ni Jambo haliwwzeka maana the life itself ni politics.@Adventure_36
Wakati wa hasira au furaha sio wakati mzuri sana wa kufanya maamuzi . Chunga Sana hasira zako ziwe za garama Sana kiasi kwamba sio Kila mtu anaweza kuzinunua.
Lakini fanye furaha yako kuwa ya Bei rafiki hata mtu wa Hali ya chin aweze kuimudu bila wasiwasi wowote
Vitu vitatu ambavyo hupaswi kuviruhusu kuondoka kwako bila kuacha alama, au bila sababu za msingi
1. Muda
2.Watu
3.pesa/Mali
Zingatia Sana ikiwezekana rudia kusoma tena
Morogoro mjini kulinoga saanaaa uzinduzi wa kampeini
MAGUFURI MITANO TENA. ABOOD MGOMBEA UBUNGE CCM MOROGORO MJINI MITANO TENA.MADIWANI WA CCM MITANO TENA
CCM HOYEEEEEEEEE.