@kasenene2000@EduTalkTz HATARI YA SERIKALI KUDHIBITI IMANI
Dola ikianza:
▪︎ Kuamua nani ni mchungaji halali,
▪︎ Kuamua nani anaweza kuhubiri,
▪︎ Kuweka standard ya kiroho
Kuna mambo mawili👇🏻👇🏻
⚠️ Inaweza kusaidia kuondoa matapeli.
⚠️ Na pia inaweza pia kudhibiti sauti huru.
@TNerei34894@EduTalkTz HATARI YA SERIKALI KUDHIBITI IMANI
Dola ikianza:
▪︎ Kuamua nani ni mchungaji halali,
▪︎ Kuamua nani anaweza kuhubiri,
▪︎ Kuweka standard ya kiroho
Kuna mambo mawili👇🏻👇🏻
⚠️ Inaweza kusaidia kuondoa matapeli.
⚠️ Na pia inaweza pia kudhibiti sauti huru.
@EduTalkTz HATARI YA SERIKALI KUDHIBITI IMANI
Dola ikianza:
▪︎ Kuamua nani ni mchungaji halali,
▪︎ Kuamua nani anaweza kuhubiri,
▪︎ Kuweka standard ya kiroho
Kuna mambo mawili👇🏻👇🏻
⚠️ Inaweza kusaidia kuondoa matapeli.
⚠️ Na pia inaweza pia kudhibiti sauti huru.
@MariaSTsehai Amen Amen. Mungu yuko pamoja nawe atakulinda mpaka mwisho.
"Nami niliaminilo ndilo hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema moyoni mwako ataimaliza hata siku ya Kristo Yesu." WAFILIPI 1:6 Be blessed
@winstone_nnko 4. Ubunifu na Teknolojia ya Kiasili
Tunaweza pia kuchanganya mbao na teknolojia za jadi kama udongo, tope, au vifaa vya kisasa kama insulation board, ili kutengeneza nyumba rafiki kwa mazingira na nafuu.
@winstone_nnko 3. Kuboresha Kanuni za Ujenzi
Tukiwa na “building codes” zinazotambua teknolojia ya mbao, na kuhakikisha usalama wake kwa moto, unyevu, na wadudu, tutaweza kupunguza gharama kubwa za ujenzi Afrika.
@winstone_nnko 2. Kukuza Sekta ya Misitu ya Kibiashara
Tukianzisha mashamba ya miti ya mbao (kama pine, cypress, grevillea), tunaweza kuwa na mnyororo wa thamani wa mbao kwa ujenzi, samani, na viwanda vya karatasi.
@winstone_nnko AFRIKA TUNAWEZA KUJIFUNZA NINI?
1. Kujenga kwa Gharama Nafuu
Tunaweza kufikiria ujenzi wa mbao au mchanganyiko wa mbao na matofali kwa majengo ya muda mfupi au ya kati — hasa vijijini, maeneo ya misitu, au miradi ya haraka kama hosteli, shule, au makazi ya dharura.
@winstone_nnko 3. Mazingira ya Kijiografia na Hali ya Hewa
Sehemu kubwa ya Marekani ina hali ya hewa ya baridi au wastani (kama Texas), hivyo mbao zinadumu vizuri na haziathiriki haraka na mvua kali au joto la juu kama maeneo ya joto kali ya Afrika.