Mungu ni MKUBWA kiasi kwamba hatoshi kwenye misamiati yako, lugha na uwezo wako wa kuelewa (comprehension).
Jitendee haki, kubali kukutana na upande wa Mungu usioujua.
Do yourself some favour!
@AD_Abinallah Imeniomgezea uwezo wa kukabiliana na mazingira katika nyanja mbalimbali
Imenisaidia kunipa uwezo wa kujifunza chochote ninachotaka kujifunza bila kurudi tena kukaa darasani
Shalom,
Uko mkoa wa Arusha..?
Kesho (Jumamosi) tunakutana Mlimani Duluti kwa ajili ya maombi kuanzia saa 3 asubuhi.
Maombi yataongozwa na Pastor Salome Saimon 0653779245
GFG - Arusha. https://t.co/TVR0HxI1FD
RPC—Mwanza, SACP Ramadhan Nghanzi, akizungumza na Viongozi wa CHADEMA anasema ameagizwa na Rais kuzuia kongamano la KATIBA na anatekeleza maagizo hayo mpaka atakapo pokea Taarifa nyingine. #KatibaMpya#NoJusticeNoPeace#KatibaMpyaMovement
'Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima aliunda Kamati ya mpito ya watu 10, viongozi kutoka NGOs za kitaifa & kimataifa kwa dhumuni la kusimamia uchaguzi wa viongozi wa Baraza jipya la (NaCoNGO) , Leo Kamati hii inapenda kutoa taarifa kuhusu mchakato huu'- Flaviana Charles,
#UchaguziNaCoNGO
NJIA ZA KUKUSAIDIA KUFANYA BIASHARA USIOKUA NA UJUZI NAYO..
uzi (thread) 👇
1. Tafta watu wanaofanya hiyo biashara, kaa nao chini na waulize maswali mengi juu ya hiyo biashara ili uweze kupata mwanga zaidi, ni vyema uka andaa maswali kwenye mpangilio mzuri iwe rahisi kujibiwa.
@Left__Batch @FarajaNyalandu Yeah Anza na ebooks kwanza!
.
Ninazo ebooks 2—moja ya Copywriting Skills na nyingine ya—Closing Skills
.
Zimeandikwa kwa Kiswahili kabisa
.
Na Mwezi huu wa Ramadhan kuna—OFA
.
Kila ebook inauzwa Tshs 9,999 Tu (badala ya Tshs 50K)
.
Kama unahitaji—DM NOW!
#THREAD Umemaliza Chuo? Uko in between ajira/kujiajiri na kumaliza Chuo? Huna Cheti cha Elimu ya Chuo na umejiajiri au umeajiriwa? Cheti sio kila kitu. Uzi huu ni wa ujuzi mbalimbali utakaokutofautisha au kukuongezea ufanisi kufikia malengo yako. Elimu sio kigezo ingawa ni msingi
Wengi wanavyodhani ila kitu cha kwanza ni “SOKO lenye Kiu ya Kununua kile unachotaka kukiuza” tunaita “A hungry Crowd”
.
Maabara ya kweli katika biashara yoyote ni SOKO - market is the True Laboratory 🔬
.
Sio hisia zako kwasababu wewe sio mteja
.
👇🏽👇🏽
Chukua Hii...!
.
Kama Unauza Physical Products Mtandaoni Mfano ,Nguo, saa, Viatu, etc
.
Hakikisha Unapost picha Za aina mbili
.
Upande wa kushoto inakuwa ni picha ya bidhaa husika na upande wa kulia inakuwa ni picha ya hiyo bidhaa ikiwa imevaliwa na mlengwa