@EsirEid Kuna major service at 100K Km, Kuna upgrade ya Version, Kuna carbon Emission Tax, Kuna matumizi kidogo kwasababu miundombinu ni mingi. Lakini kutemper na odometer kwa Japan sio rahisi sana hivyo. Wana reputation kubwa na nchi ina sheria kali ukigundulika.