TANZANIA askari mmoja analinda watu 2,000 ila kimataifa askari mmoja analinda watu 450 tu.KUNA UMUHIMU SANA WA KUWEKA ULINZI WA KAMPUNI BINAFSI ZA ULINZI NYUMBANI,OFISINI,NA KWENYE EVENT's.
“This is becoming a scandal; Berkane booked the hotel in Zanzibar yesterday (14/5/25) at 09 GMT; Simba received a letter proposing a change of venue this morning (15/5/25)!!”
“Was Berkane part of the CAF decision-making process? This intervention cannot go unmonitored by an independent body!! @cafclcc down.”
Crescentius Magori, Simba SC Board Member.
#cafccwithmicky | #nguvumoja
@nchojitz@ayubu_madenge Wewe unamtizama kwa mtizamo huo lakini si kila mtu atatizama kama wewe,unafikiri siasa ni nini,miaka ni nini,you just think kwanini nimesema hivyo na sijakurupuka.