VIDEO:
Tunakusogezea kusikia 'UTANI' wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche, baada ya kesi ya uhaini inayomkabili Lissu inayoendelea Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru kuhairishwa leo, Jumatano Septemba 09.2026,
Ikumbukwe kuwa, kesi hiyo itaendelea tena kesho, Alhamisi Septemba 10.2026, ambapo shahidi wa TANO wa utetezi John Heche ataendelea kutoa ushahidi wake akiongozwa na mshtakiwa Tundu Lissu ambaye anajitetetea mwenyewe.
“Kifo ni kifo”
These words will continue to haunt Samia Suluhu
This was her reaction to the brutal abduction and murder of Ali Kibao
She dismissed the death and chided international concern by saying it is just another death
Kosa la Kazungu ni kukosoa huu mchepuko wa Wanu.
Kuna wakati nilionya wanaojiita Wabunge Dodoma, yaani hapo Dodoma mtarecordiwa sana kwenye makazi yenu, Kama walivyofanya kwa Katambi akiwa Jikoni na mchepuko wako.
Watajaribu kutumia hizo record kuwafanyia Blackmail, wakishandwa wanakupiga kama Kazungu, huo ndio utaratibu wa Wazanzibar wanaotawala na Kikwete, ndio maana kwa sasa utomsikia Kikwete popote wamekubalia apiga msosi kimya kimya. Na mara nyingi anamwambia Samia kandamizi zaidi.
Kuna wakati tutazika sana hapo Dodoma, hizo mic na maviti mnatumia si mmepewa vyeo vyeo bure, sasa siandaeni, wamesha test na Jenista na Lukuvi , mambo yako vizuri tena fasta tu. Si mnajifanya mko salama nyie, endeleeni tu
Na wakware mnaovamia vichinchili na mapapai kutoka visiwani imeshakula kwako, hata kama ni mkeo wa ndoa jua wameshakuweka kwenye file, haya mavideo mengi anayo Bashite mpaka ya Madilu na maaskofu wengi tu
Watanganyika tusipoamka sasa tumeisha, tumemalizwa vibaya sana na kwa kasi
Hakikisha unaagalia hii documentary ya kiuchunguzi ya Tundu Lissu ikionyesha alivyoumizwa na familia yake kuteseka!
Kimama kikatili hakina kesi kimekaza fuvu tu!
#FreeTunduLissu
VIDEO:
Mbunge wa Tarime Vijijini (CCM), Mwita Waitara, ametaka Mbunge wa Tunguu (Zanzibar), Mhe. Simai Mohammed Said, aondolewe ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au yeye mwenyewe atoke, kufuatia kauli yake hivi karibuni alidai kuwa kuna kiongozi msaliti ndani ya serikali anayemhujumu Rais Samia, akimbatiza jina la "Yuda".
Akichangia kwa ukali wa kipekee katika mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Jumanne, Juni 16, 2026, mkoani Dodoma, Waitara amemtaka Simai kumtaja hadharani msaliti huyo la sivyo achukuliwe kama mtu anayeyumbisha nchi.
Waitara ameonya kuwa kauli za Simai zina mwelekeo wa kutengeneza mpasuko wa hatari, na kuifananisha kauli hiyo na sumu au jaribio la "kutoboa mtumbwi" ili viongozi na wabunge wote wazame.
"Nimemsikia mtoto mmoja wa shule hapo hajui hata wajibu wa Mbunge, anasema John Heche amesoma shule ya Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi Bulima, ni kweli nimesoma shule ya Bulima lakini kipindi hicho Bulima haikuwa shule ya Wazazi, ilikuwa shule ya bodi ya Pamba, CCM ndio wameipora sasa hivi na kuwa ya wazazi. Tukishinda nchi hii vitu hivi vyote tutavirudisha serikalini siku hiyo hiyo ikiwemo Ofisi wanazozikalia. Wataenda kupanga mtaani huko.
"Mimi sijasoma shule ya CCM mimi, ningeacha shule haki ya Mungu. Hii akili yangu mnavyosikia ningeweza kusoma shule ya CCM?."- Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA akizungumza na wanafunzi wa Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa leo Juni 13, 2026.