Kwenye miaka yake 10 kwenye muziki, je @AslayIsiaka anazijua nyimbo zake? Check amepata marks ngapi huku interview nzima ikipatikana hapa 📺 https://t.co/0xssI3mO8g 🔥
Endelea kustream nyimbo za @AslayIsiaka kwenye app ya Boomplay
#homeofmusic#aslay#guessthesong
Mwakilishi wa management ya Rock Star Africa na lebo ya @SonyMusicAfrica Edo Star Tz akiwasilisha cheti cha kutambua mchango wa #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio kwa mkuu wa idara ya burudani East Africa Television Ltd @Zamrah255 katika miaka 10 ya muziki wa @aslayisiaka kwenye BongoFlava ambaye wanamsimamia kwa sasa.
#EastAfricaTV #EastAfricaRadio #TogetherTunawakilisha #Muziki #BongoFleva #Aslay
Nice Couple Music Video ipo hewani ,pitia na nipe maksi zako na vile vile unaweza kutoa mchango wako wa video itayofuata iwe ya nyimbo ipi? Ni katika kusherekea tu miaka yangu 10 katika industry.
#MimiNiBongoflava#10years100song#CelebratingBongoFlavaIconAslay
Shukurani zangu za dhati kwa @CloudsMediaLive kwa kuungana na mimi rasmi katika kusherekea miaka yangu 10 katika music industry. Power breakfast leo ilikuwa ya kibabe . Ashanteni na endeleni kusikiliza radio yenu pendwa na mengi sana nao
#MimiNiBongoflava#10years100song
Anastahili Kuwa Kwenye Namba Za Juu za Wasanii Wanaofanya Vizuri Kwa Sasa . Mdogo Wangu Mcheshi, hanywi Pombe ila Balaa lake Unaweza Ukasema kavurugwa🤣 Nampenda Sana, namuombea Na naona pazuri anapoelekea, global star. Merci beaucoup @abigail_chams.
#MimiNiBongoflava
Tusijasaahaulishe Wala Tusijifanye Tumesahau PUSHA ni moja Ya ngoma Ambayo mpaka Kesho Haitoki kwenye masikio yenu mashabiki zangu ngoma yenye mahadhi lege ila Ina ubongofleva mwingi ndani yake. Inashuka YouTube Jumapili.
#MimiNiBongoflava#CelebratingBongoFlavaIconAslay
Katika kusherekea miaka yangu 10 kwenye muziki, niwakumbushe the classics .Tukutane in August kwenye kusherekea Miaka 10 Ya Aslay Concert,details zote zitafuata. MHUDUMU Live performance on YouTube Channel yangu.
#MimiNiBongoflava#10years100song#CelebratingBongoFlavaIconAslay
Mashabiki zangu nyimbo zangu zote tunaziita “catalogue songs” including hit zangu zote Angekuona, Mhudumu, Natamba, Ananikomoa , Pusha , Likizo, Baby na zingine zote zimepewa kipau mbele kwenye @applemusic Essential playlists .Keep streaming .
#MimiNiBongoFlava#10years100songs