Awamu ya Sita inapoanza kipindi cha pili, haya ni baadhi ya malengo makuu ya Serikali;
π Kujenga uchumi imara, jumuishi na shindani.
π Kulinda amani, usalama na utulivu.
π Kuimarisha ustawi wa Watanzania.
π Kufungua fursa zaidi za ajira na biashara.
#MamaYukoKazini
πππππ ππππ πππ ππππ πππππ
Miaka minne iliyopita Mama ameajiri walimu wapya 39,000.
Ndani ya siku 100, anaanza kwa kuajiri walimu 7,000.
#Siku100zaSamia#MamaYukoKazini
Rais wa China, Mheshimiwa Xi Jinping amempongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa na wananchi, na amemwahidi ushirikiano katika kukuza zaidi uhusiano kwa manufaa ya Tanzania na China.
#MamaYukoKazini