@Labella_Mafia95 Kutokudaiwa sio sifa, na kwanza katika sheria za kifedha utekelezaji wa miradi mikubwa tena ya muda mrefu itakulazimu kukopa pesa ili kuendana na uwiyano wa hisa na mikopo.
@JayleenRickie Nina experience ya Dr. Mmoja wa chuo cha SUA kajenga apartments za day price yani unalipa kwa siku ana hidden roof (Morogoro), nimekaa kwenye hiyo nyumba kwa muda siku 10 na katumia gharama kubwa kujenga. Nimempigia siku sio zaidi ya mara 3 nyuma inavuja, anadili na mafundi.
@HeraldNkya@fbuyobe Daah global politics hujui na hata jana kumbe hujasikiliza vizurii hiyo conversation. Bila USA chini ya Biden ilikuwa Rahisi sana kwa Urusi na ndio maana Zelensky bado anahitaji ukaribu wa USA kweny hii vita, vinginevyo the game is over.
@MalemboLE Hii kitu ndio kwanza ninajua leo eti tunaimport kuku, how this is allowed? Yani kuku wa nje anaubora upi ambao wafugaji wetu wakielekezwa vizuri jinsi wa kuwahifadhi hao kuku hawawez kulipata hili soko? Tuna safari ndefu kma tu soko la ndani hatuliwezi.
Kitambo cha Marekani kusitisha misaada kwa nchi zinazoendelea hasa za Afrika inapelekea utegemezi zaidi kuaminika kwa China katika nchi nyingi za Afrika. Hii ni mbaya kwa Malekani kwani kukubalika kwa Uchina Afrika ni ongezeko la uchumi kati ya China na nchi zinazoendelea.
@YerickoNyerereT@freemanmbowetz Yani haka kajamaa sijui nakaonaje? Hivi kweli kana elimu gani mpaka kakatudanganya ni kaandishi ka vitabu? Tena vya kijajusi na sisi tukasoma??
@JonMrema Punguza Uchaga na Ukabaila. Jengeni Chama ndio Maana Unaweza Kukuta CCM Kuja Vukute Kubwa Lakin Huwez Ona Wana Bwabwaja Ovyo. Kimsingi Niwamoja Kwenye Kushika Dola
@YerickoNyerereT Jasusi Feki, Yani Hili Jamaa Linaumbuka na Mimi Namashaka na Elimu Yake. Walahi Haya Ndio Yale Mazee Ya Kuingia Na Vibomu Kwenye Papers.
@YerickoNyerereT@Ntobi_ Mwandishi wa vitabu feki. Yani huyu jamaa nilikuwa namkubali na niliposikia anatakuwa kwa chief Odemba nkajua moto utawaka, kumbee Haaa... wengine hatujui siasa na hatuna mpango wa kuingia huko,, sasa mdahalo umemuumbua huyu jamaa
@godbless_lema Daah jamani kwahiyo ulitaka wafanyeje? Mi naona wamefanya lililojema, Kitendo cha wao kuwa hapo ni molali kwa waokoaji, wahanga na watz wote. PONGEZI KWAO