Kutoka maskini hadi kuwa kingpin wa Cartel mwisho hadi kuuwaa na jeshi la ๐บ๐ธ kushirikiana na jeshi la Mexico hapa namzunguzimia Nemesis ruben osegura cervates almaarufu El mencho' naam ...
Uzi ๐งต ๐ชก ๐
Jeneza Lililogoma Kuzikwa โ MKOA WA MARA
Kuna baadhi ya matukio ambayo yakikupata, hata ukiwa mtu wa kujiamini kiasi gani, lazima utikise kichwa na kusema: โHili si la kawaida.โ
Leo nakusimulia tukio moja ambalo lilitokea mwaka 1997 katika kijiji cha Nyangโombe, wilayani Tarime, mkoani Mara.
Ni hadithi ya kweli ambayo wazee wa kijiji bado wanakumbuka hadi leo.
Ni hadithi ya jeneza lililogoma kuzikwa
Leo ndio nimejua kuwa South African Reserve Bank (SARB) haimilikiwi na serikali ya South Africa.
Kwa lugha nyepesi, ni kama vile kusema Benki Kuu ya Tanzania (BOT) haimilikiwi na serikali ya Tanzania!
Hii Reserve Bank ya South Africa ni moja ya benki kuu chache sana duniani ambazo zinamilikiwa na wawekezaji binafsi badala ya kuwa mali ya serikali.
Soma zaidi..
Nisikilizeni na mkipata muda soma huu uzi mpaka mwisho.
Baada ya kusoma kitabu cha Biography of Steve Jobs nimewiwa kushea na ninyi kwa ufupi safari ya Apple mpaka kuwa one of the giant tech companies.
Hii ni kwa wale wanaotaka kujenga utajiri from the scratch.
Anguka Nayo:๐
Utasikia "Kununua pikipiki China ni bei raihisi lakini kimbembe ni hapo kwenye usafiri na Kodi, Bora ununue huku"
Story za vijiweni hizi na za kusimuliwa na wengine na wengine na wengine wasioijua kweli.
Tujifunze kwa kina kuagiza bidhaa China na tuanze na CBM
GONGA LIKE ๐๐
Washkaji walikutana na rafiki yao wa zamani akiwa amepigika ile mabaya!
Katika story Jamaa akawaambia wanae kwamba ana plan ya kuwa mkulima, lakini kipengele kilikuwa ni kupata mtaji kwa ajili ya kununua equipment, pembejeo na ku-setup irrigation scheme.
Soma Zaidi:๐๐
JE UNATAKA KUWA PUBLIC SPEAKER MZURI?
Kama jibu ni NDIYO, fanya yafuatayo:
1. Achana na matumizi ya "Filler words"
Matumizi ya maneno kama "uuum" "eti" "nanihii" "kinda" "like" na mengine kama haya, yakitumika sana ndani ya speech yako yanakufanya uonekane kama mtu usiyejiamini au unaiba muda ili kufikiria jambo la kuongea.
Matumizi ya maneno haya yaweza kuifanya hadhira ikuchoke mapema.
2. Usiongee harakaharaka
Watu wengi wasiojiamini, hudhani kuongea haraka kutawafanya wamalize speech mapema hivyo kukwepa udadisi wa hadhira juu ya mada wanayowasilisha.
Huwa wanajidanganya
Kuongea haraka hufanya ujumbe wako usieleweke kwani hadhira hupata ugumu wa kuendana na speed yako na kuchukua kila ujumbe kwa haraka.
Ukiongea taratibu unaifanya hadhira ivutiwe kutaka kujua utaongea nini mbeleni na wewe na hadhira mnakuwa connected.
Ukiwa unaongea huku unaweka "pause" inatoa nafasi kwa hadhira kumeng'enya ulichoongea kabla, kunatia mkazo kwenye unachowasilisha, pia kunatengeneza "suspence" na "interest" kwa msikilizaji.
3. Tumia body language
93% ya mawasiliano kwa sasa duniani, hayaitaji mtu azungumze.
Kile usichozungumza, kinaweza kuongea zaidi ya unachozungumza
Unapoongea huku unaitazama hadhira usoni, unapotembea kutoka sehemu moja hadi nyingine, unapojidai kufikiria nk kunakufanya kuwa mzungumzaji mzuri kuliko maneno mazuri uliyoandaa.
4. Usitegemee sana "Nondo" ulizoandaa wakati wa kuzungumza
"Nondo" ni bidhaa inayokukumbusha na kukuongoza juu ya nini cha kuongea.
Lakini hupaswi kuitumia "Nondo" kama Script muda wote wa presentation.
Matumizi makubwa ya nondo wakati wa uwasilishaji hupoteza connection kati yako na hadhira na utaonekana hujajiandaa na haujiamini
5. Usitumie maneno magumu
Usitumie sana maneno ya kitaalamu au jargons. Waongeaji wazuri hujua nguvu ya matumizi ya lugha nyepesi ili kufanya ujumbe uwe wa wazi na unaoeleweka.
6. Fanya mazoezi ya kuongea mbele ya watu mara kwa mara ili uyatekeleze kwa ufasaha maelezo yote hapo juu.
Practice will make you perfect
Hizi ni biashara zangu 4 zilizoshindwa kufanikiwa ambazo niliona zitanitengenezea mamilioni ya pesa pasipo kusumbuana na serikali kabisa..
Hizi ni biashara ambazo kwangu nilishindwa ila wewe unaweza kufanya na ukafanikiwa, pia nitakupa sababu kwa nini nilishindwa ..
Thread ๐
Habari za asubuhi mkuu?
Unakuwa ukijiuliza gharama za kutumia pesa kutoka Bank Moja kwenda Bank nyingine makato yake?
Kuna gharama kubwa au mambo yakoje?
Hapa nakuletea kwa ufupi gharama za kutumia pesa baina ya banks kwa Mujibu wa BOT
Jinsi ya Kufuatilia IP Address ya Mdukuzi Kutumia TCPView
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, usalama wa mtandao ni kipaumbele cha kwanza kwa mtu Yeyote.
Udukuzi yaani Hacking umeongezeka kwa kiasi kikubwa sana
Hivyo basi kufwatilia Usalama wako mtandaoni Ni muhim sana.
Jinsi Pagers na Petn zilivyofanya Mashambulizi uko Hezbollah chini ya israel.
SUPPLY CHAIN ATTACK
Unaweza kushangaa Teknolojia ya Anologia ya miaka 1950 imefanya mashambulizi?
Pager
Hii ni small electronics device ambayo ni rahisi kubebeka na hutumika kupokea sms
Kuna namna unaweza hisi kuwa mtu anakitu anakuficha na anatumia mbinu ya kuchat kwa message za kawaida Ili usione
Leo naenda kukuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kufanya Ili uzisome bila yeye kugundua
Thread ๐งต
Repost ๐
Bookmark ๐
Shuka nayo ๐๐พ