@BillyTronix1 Siku hizi hawa mademu wa haki Sawa ndo wanajifanya hawawezi kushare. Ika honestly na naturally wanawake kushare ni Jambo la kawaida. Mi siku hizi nikipata girl lazima nimuambie ukweli waliopo. Na anaona upendo namuoneshea, ananikubali mwenyewe. Na ndo napata mademu wanaojitambua
@BillyTronix1 Uzuri wanawake Mungu amewaumba Kwa namna ajabu Sana. Wao haiwasumbui kuwa wengi, ila wanataka waoneshewe upendo basi. Uwajali, mpe muda, mtimizie baadhi ya tu mahitaji yake au hata yote kama Una uwezo, mpe attention, sometimes toka naye out Kwa ujasiri.
@EsirEid Morocco wako vizuri mno. Na watafika mbali. Natamani wafike mbali. Nawakubali. Always timu yenye juhudi, wanapambania na inacheza vizuri huwa naikubali mno.
@EsirEid Wewe ndo unaleta mambo ya udini. Maana ni mambo unaongelea kila saa. Hapo Senegal Hamna Jambo la udini wanafanya. Ni Jambo la kawaida ya kuabudu. Ambalo hata wewe unafanya.