Kiwango cha pesa unachohitaji kinaamuliwa na ukubwa wa malengo yako.
Ulishawahi kujiuliza kwa nini watu matajiri wanaendelea kutafuta pesa, wakati tayari wana pesa nyingi?
Watu wengi wanafikiri matajiri wanafanya hivyo kwa sababu ya tamaa.
Lakini mara nyingi siyo sababu hiyo.
Ukweli ni kwamba, kadiri malengo yako yanavyokuwa makubwa, ndivyo kiwango cha pesa unachohitaji kinavyoongezeka.
Mtu anayejenga kampuni kubwa anahitaji mtaji zaidi.
Mtu anayenunua assets anahitaji cash flow zaidi.
Mtu anayetaka kuwekeza zaidi anahitaji mapato zaidi.
Ndiyo maana matajiri hawaachi kutafuta pesa.
Kwao, pesa si mwisho wa safari.
Pesa ni mafuta yanayoendesha malengo yao.
Sasa jiulizeโฆ
Malengo yako ya kifedha ni makubwa kiasi gani?
Kwa sababu kama huna malengo makubwa, ukipata milioni mbili unaweza ukahisi umefika.
Lakini ukiwa na maono makubwa, hata milioni mia inaweza kuwa hatua tu ya safari.
Kuna kitu kinaitwa Divine Replacement.
Ni pale Mungu anapokiondoa kitu ulichoamini huwezi kuishi bila hicho.
Halafu anakupa kitu ambacho hukuwahi hata kufikiria kukiomba.
Good Morning.
๐จBREAKING: Youngman in california leads 895 classmates to Jesus.๐ช๐ฝ
Jesus christ is king and he is coming back soon.
Retweet this to remind someone.
NOBODY WILL REMEMBER
1) Your salary
2) How busy you were
3) How many hours you worked
4) How many Gucci bags you owned
5) Your job title
6) The car you drove
7) The size of your house
8) Your social media followers
9) The brands you wore
PEOPLE WILL REMEMBER
1) How you made them feel
2) The time you spent with them
3) If you kept your word
4) If they could count on you
5) How you listened
6) How you supported them
7) The kindness you showed
8) The memories you created
9) The respect you gave
BUT STILL PRIORITIZE THE THINGS "NO BODY WILL REMEMBER"
Kiwango kimoja cha kumtegemea Mungu ni kumuomba Yeye pekee mahitaji yako yote. Lakini kiwango cha juu zaidi ni kuamini kuwa baada ya kumuomba, Atajibu kwa namna bora zaidi, kwa wakati bora zaidi, kulingana na hekima Yake โ si mipango yako.
Ukifikia hatua ya Kuamini kuwa Mungu anajibu Maombi yoyote haijalishi una dini au laah basi Utaishi kwa raha sana duniani
Dini ni Man-made dogma , mafundisho na mapokeo. Hivyo kila mmoja ana haki ya kuchagua dini yoyote
Tumeunganishwa na Mungu Kiroho na sio Kidini (Alignment).
โKama dini yako inakufundisha kusubiri haki katika maisha yajayo, huku ukikubali dhuluma katika maisha haya, basi unapaswa kujiuliza ni nani hasa anafaidika na imani hiyo. Imani ya kweli inapaswa kumwamsha mtu, si kumfanya alale."ย
Malcom X