๐จ๐ฝโ๐In Commercial Sciences and Financial Management. Better informed, but I am not a journalist, โฝ๏ธ๐ค DeOro Pro Management โป๏ธ [email protected]
Le DG Christian MUSANGU, @diamnegoce disponibilise 3500$ pour 35 personnes qui donneront le score exact du match qui oppose la RDC ร la Jamaรฏque.
@Bobkiaka97
La ๐ญ๐ฬ๐ ๐ฬ๐๐๐๐๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐ญ๐๐๐๐๐๐๐ ๐ฒ๐ท apporte son soutien ร la ๐น๐ฬ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ซ๐ฬ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐ช๐๐๐๐ @FecofaRdc ๐จ๐ฉ dans son match dรฉcisif face ร la Jamaรฏque, ร la conquรชte dโune place historique pour lโAfrique ร la ๐ช๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐ด๐๐๐ ๐ 2026.
๐ Lโ๐๐ฏ๐ป๐ฒ๐บ๐พ๐ฎ derriรจre vous ๐ฒ๐ท๐ค๐จ๐ฉ Force aux ๐๐ฎฬ๐ธ๐น๐ช๐ป๐ญ๐ผ !
Elie Mpanzu amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia Simba SC.
Pongezi nyingi kwa Rais wetu, Mohammed Dewji kwa kufanikisha kumbakisha nyota huyu wa kimataifa kutoka nchini DR Congo. #NguvuMoja
๐จ EXCLUSIVE; Nimeiona Demand Notice Kutoka Simba SC Kwenda Kwa Hans Raphael Kuhusu Elie Mpanzu yenye Kumbukumbu no SSC/CROWN/2026/02/19/01
Malalamiko ya Simba SC Kwa Hans Raphael ni Kwamba ametoa taarifa yenye Lengo La Makusudi la Kuchochea, Kuupotosha Umma na Kuharibu Jina la Simba Sports na Elie Mpanzu Kwa Kusema
1. Elie Mpanzu anaipenda Yanga Kwa dhati Wakati ana Mkataba na Simba SC
2.Elie Mpanzu ameitaarifu SimbaSC Kusudio lake la Kutaka Kuondoka Dirisha Dogo la Usajili la January au Hawezi Kuongeza tena Mkataba
3.Simba SC wana wasi wasi Kuhusu Elie Mpanzu Kutaka Kujiunga na Yanga
NOTE; Simba SCwamesisitiza Kauli za hapo Juu ni Muendelezo wa Kauli za Kichochezi dhidi ya Simba SC ambazo Hans Raphael amekuwa akizitoa na Kuchapishwa na Kituo cha Crown Media
Simba SC wametoa siku mbili Kwa Hans Raphael atoe Ushahidi/Uthibitisho usio na Mashaka (tangible proof) au aombe radhi kwa namna ile ile na kutumia njia ile ile ambayo aliitumia Kutoa hizi taarifa zake