Farmers,, Businessman& livestock keeper,,,,Fanya kazi kwa malengo ya baadae,,#FREE TUNDU LISU #NOREFORMNOELECTION,CHADEMA CHAMA CHANGU,,2025NOELECTION.
Leo 23.06.2026 natimiza miaka miwili baada ya tukio langu la KUTEKWA na jeshi la polisi Tanzania @tanpol
Niliweza kupatikana nikiwa hoi ndani ya MBUGA YA WANYAMA HUKO KATAVI nikiwa na MAJERAHA YA KUPIGWA RISASI YA KICHWA ambayo ni kwa neema ya MUNGU niliweza kukishinda KIFO.
Asante wote mliokuwa na mimi katika nyakati zote hizi za miaka miwili ya kupambana na WAKOLONI WEUSI, kuna nyakati naweza kuwa nawakwaza ni katika kukamilisha UBINADAMU (Hatujakamilika) MNISAMEHE BURE.
TABASAMU LANGU ni fimbo inayomtesa MAFWELE mpaka anaingia KABURINI maana yeye ndie aliamuru mimi nitekwe na NIPOTEZWE ila kwa neema ya MUNGU NIPO HAI.
Na kwasasa haimaanishi nipo salama, wanapambana sana KUNITEKA TENA wafanikishe walichoshindwa kukikamilisha miaka miwili, ila kwa neema ya MUNGU bado nipo hai.
#WhereisSativa
#whereisSativa
TUISHI WANANGU.🙏🏾
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SINGIDA, jiandaeni! Baada ya Kamati Kuu tunamalizia majimbo mawili ya Mkoa wa Morogoro, halafu tunahamia kwenu, kijiji kwa kijiji, mkoa mzima. Mood iko Top Class! Walisema CHADEMA itakufa, lakini muda unaendelea kuthibitisha tofauti. We are here to stay, and to conquer.
No force can stop an idea whose time haa come!
This is Mbeya - the stronghold of CHADEMA with a very rich and fertile land in #Tanzania
In October 2025, during #TanzaniaMassacre thousands were killed wantonly by police and security forces even street children and Mbeya still bears the scars! Yesterday thousands filled fearlessly the CHADEMA rally led by @HecheJohn to demand justice, #FreeTunduLissu and constitutional reforms!
Muda wa mabadiliko ulishawadia CCM na Samia wakagoma kwa risasi na mauaji halaiki kutoka na kukubali matokeo halisi ila hawawezi kushindana na mabadiliko! CCM - Mliwaua sana wana Mbeya ila oneni walivyo majasiri na bila woga wamesimama kuhesabiwa! Mtawatisha nini mamilioni waliowakataeni hata baada ya kuwaulia ndugu zao!?
Mjiandae kuondoka hakuna kingine!
Chadema hamtaweza kukiua kwa sasa kwa sababu Chadema ni yetu sote hadi tutakapopata mabadiliko - tusio wanachama na walio wanachama!
Mjipange kuondoka kutuua hamtaweza kutumaliza
#TutaelewanaTu
Asubuhi ya leo 23.06.2026.
Msafara wa Makamu Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn ukielekea Mbeya umesimama kusalimia wananchi wa Chimala.
Asanteni sana watu Mbarali.
#FreeLissu#KatibaMpya
Samia na wauaji wenzake lazima walipe gharama za kukatisha uhai na kutesa Raia wasio na hatia...
Let's keep the fire burning.
#FreeTanganyika#FreeLissu
#7/7...
Juzi gazeti la @MwananchiNews na @TheCitizenTz pamoja na ITV waliandika habari za uwongo kwamba Marekani yaondoa vikwazo dhidi ya Tanzania nawengine wakaandika Marekani yalegeza msimamo dhidi ya Tanzania.
Tuliwambia Propaganda za kitoto haziwezi kuwasaidia chochote haya sasa leo mambo yote hadharani.
Hakuna kilicholegezwa wala kuondolewa yani Bendera chuma, mlingoti chuma yani huu ni mwanzo tu.
Much thanks to my Toyota Land Cruiser. We call you AKS. You’ve crossed this nation more than four times, carrying us through every road and every condition. You are more than a vehicle, you’re a legacy. No price tag could ever define your worth. I❤️ you.
Baba wa fikra makini nchin wameamua kumuweka gerezani kwasababu ya akiri nyingi sisi siowajinga kumuunga mkono hii ni nchi yetu sote watanganyika lazima tuipiganie nchi yetu #FreeTundulisu my special one my Eagle🦅🦅🇹🇿🇹🇿✌️✌️🦁🦁Simba wa Tanganyika very soon you will be free.
Advanced out of committee ✅
‼️Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act‼️
A crucial step and major signal to the illegitimate government of Samia Suluhu
Niliwaambia silali 😅
Walimkimbiza Kombo Washington DC eti afanye mikutano kaishia hata kunyimwa picha huko DC na kaangukia pua, puuu! 🤣
Yuda ye ame chill huko somewhere kimya keshaona ngoma ngumu hii 😁
Mungu yuko kazini 🙏🏽
#TutaelewanaTu ndo namna hii!