Jimbo la Mtamaaaa🔥🔥🔥
Leo ni Siku ya Tatu,ambapo Mwenyekiti na Katibu wa Bavicha Mkoa wa Lindi Wakiwa katika ziara ya Siku nane ya Kutembelea maJimbo yote katika Mkoa wa Lindi. Vijana wetu Wana Shauku kubwa ya Mapambano Maana #ChamaKimerudi. Tuwatie Moyo Wapiganaji Wetu💪💪
Mimi Mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa lindi,Ninawaomba watanzania Mtuchangie ili tufanikishe Operation yetu ya Siku 8, itakayoanza Tarehe 05/05/2026 Mkoani Lindi.
Lengo ni kukusanya shilingi Milioni 1.5.
Changia kupitia;
Halopesa: 0618062986
Jina: Azim Juma Issa
#ChamaKimerudi