Kenya imezindua mpango rasmi wa kukabiliana na semi za chuki na uchochezi miongoni mwa wanasiasa.
Akizungumza katika uzinduzi wa mpango huo Jaji Mkuu Martha Koome amesema mpango huo utawazima wanasiasa vilivyo.
Je, unahisi semi za uchochezi zitaisha..???