@Mastown_ Utofaut wa Duma na chui ni muonekano wao machon A ni chui na B ni Duma
Duma kweny macho kuna mstali mweusi unaoonyesh kam anatokwa na machoz
Chui han huo mstari 🙏🙏🙏🙏
@j_hindishi@richardfutbal Na nikatoa mfano wa Aish kua hata alipo kua kweny kiwango chake cha mwish cha Top class hakua na tabia kama za huy mtu but remember sikusema alikua kweny kiwango kikubwa kaka au matokeo yamekupalia kuna mahali yeyot Aishi kaonyesha dole la kati waandish au mashabiki?
@j_hindishi@richardfutbal kwa jinsi unavyo jua mpira Kati ya Diara na Aishi nan anakiwango cha kuchez kweny team kubwa kwa hap Africa Labda hujaelewa nimesema ivi kwa kiwango cha Diara anaswa kuchez team kubwa lkn kutokn na tabia zake hiz ndio maan hawez kuchukuliw na team kubwa
@RevocatusMagum1 kuna nama huy kipa anawabeba Yanga lakin anatabia yake binafsi ya kujiona hawez kufungwa yeye ni bora tutegemee barn kutok board ya league