๐จ TANZANIAN MASSACRE !
On October 28 2025, Tanzanian police butchered their own people like animals.
6,000+ innocent Tanzanians were murdered in cold blood by security forces.
At least 3 pregnant women were brutally gunned down โ one in their own bedroom, another heading to the shop.
This is state terrorism.
The ICC must arrest Dictator Samia for crimes against humanity.
No more silence on African tyrants killing their own for power.
๐ธ AI.
Mwigulu unasemaje sasa kuhusu hili? Anaehujumu serikali ni nani?
Serikali dhalimu hii iliyojaaa damu, inatesa mamilioni ya Watanzania kuanzia Mtwara mpaka Tarime toka Tarime mpaka Kigoma kutoka Kigoma mpaka Songea, Tunduma mpka Dar..
Kila kona ya Nchi hii watu wanalia kama sio kubambikiziwa kesi na polisi, ndugu zao wametekwa au wameuwawa na vyombo vya dola .
Huyu mama anahitaji kulipwa nini ili aandamane kudai haki ya mtoto wake kutekwa.
Watoto wa huyo kijana au wa Soka, Mdude au polepole, watoto wa Chonchoryo au Sinda, watoto wa Tall au Kipanya wakikua wataacha watoto wenu waishi kwa Amani?
Mnajenga sumu ya hatari mno kwenye mioyo ya Watanzania, bahati mbaya nashindwa kuona tatizo hili na kulitatua bado mnatumia ubabe na kiburiโฆ
Fikiria huyo angekua mama yako!
Utaratibu wa polisi kukamata watu upo kisheria. Kwanini polisi wanateka Watanzania?
Kila mtu ambae mtoto wake au ndugu yake amechukuliwa story zinafanana kwamba watekaji walijitambulisha kwamba wao ni polisi.
Jambo kubwa kama hili, Watuhumiwa ni polisi alafu unasema polisi ndio wafuatilie!hivi mnawaonaje Watanzania?
Watanzania hawatakubali kuishi kwa hofu kwasababu ya kagenge kadogo ka wauaji na wanyonya damu.
Adding videos for additional evidence, in case Samia Suluhuโs evil regime attempts to distort the facts or question the location and credibility of the photos. The 3rd video attached, thatโs a different victim also shot in the head by a military grade weapon. Military grade weapons were used on unarmed Tanzanian protesters . The purpose was to instill fear and terrorize citizens.
Hii video imeniliza sana.
Haya ni sehemu ya mateso ambayo Watanganyika tulipitia Oktoba 29, 2025 kutoka kwa vikosi vya Nduli Idd Amin Mama.
Vikosi vya Nduli vilitesa, viliumiza na kuuwa Watanganyika wenzetu bila huruma.๐ญ
NB. Hii ni video ya Oktoba 29, 2025
BREAKING: VIDEO MPYA. NEW VIDEO EVIDENCE OF THE VIOLENCE THAT TANZANIANS ENDURED DURING THE INTERNET BLACKOUT UNDER SAMIA SULUHU ORDERS.
WATANZANIA AMBAO MLIKUWA MNAOGOPA KUACHIA VIDEO, PLEASE NITUMIENI ILI DUNIA IONE ILI TUPATE MSAADE WA NJE!!!!! WhatsApp +1 424 537 3057
INSECURITY TANZANIA
This young man James Temba from Tabata Dar es Salaam disappeared in suspicious circumstances
His body was discovered headless in a river - and we donโt expect any meaningful investigation!
Police have remained unhelpful while abductions continue under.
#EnforcedDisappearance #Tanzania @SuluhuSamia
Cc @WGEID@volker_turk@UN_HRC
mambo ya Chande na Bimsumi ndio hayooooo nafikiri kila mtu anajionea tu hapo
kwanini Chande atuletee Ripoti ambayo haieleweki, kumbee sababu ni hii!
#Tutakuwepo