Huyu Kuku Moto Ulipowashwa Alikua Na Uwezo Wa Kukimbia Mahali Hapo Na Kuokoa Uhai Wake,Lakini Alishindwa Kutokana Kuna Mayai Mengi Ya Watoto Wake,Alikubali Kuyafunika Mayai Yasiungue Ili Watoto Wake Wawe Hai Lakini Yee Alikufa Kwa Kuungua Na Moto.JIFUNZE👇🏼
Punguza mambo mengi, Halafu tafuta mpenzi wako mmoja, Asiwe mzuri sana wala mbaya sana Muhimu awe anapostika tu Halafu mpende kinoma. Enjoy naye maisha.
Usione HAYA au Huruma KUWALIPISHA ndugu na marafiki kwenye huduma/zako
Kama ambavyo wao hawatoona HAYA kukusema na kukucheka ukiwa umefikisika!
That is your hustle, they should obey and respect your things!
Never get shy, BRAND YOUR SELF!
Mwanaume anaweza akawa anakujali kwa kila kitu na akawa anakupenda sana kuliko Chochote na bado akachiti.,Ni kwasababu mwanaume anahitaji Amani,hawa viumbe wanapitia Mengi huko makazini,kwenye biashara hivyo Msiwanyanyase,hata Kama umemzidi cheo Mbembeleze na umuheshimu.
Unapokuwa Unaangalia Movies mara Nyingi Vitu unavyovitamani huwa sawa ma Umri wako
mfano
Ukiona unatamani simu Viatu na Dressing Code wewe Upo kwenye 17-19
Ukiona unatamani gari au Bike we una 20-25
Ukiona Unatamani Nyumba we upo kwenye 26-33
Ukiona Unatamani Biashara na Mipango ya uwekezaji we upo 34-50
Ukiona unatamani kuishi maisha mazuri yasiyo na chuki au ugomvi na Mtu wewe usharudisha mpira kwa Kipa 50+
Wewe upo wapi?
• Ikiwa unateseka kwa sababu ya ufukara wako, tambua kwamba kuna watu wanateseka kwa sababu ya utajiri wao.
• Ikiwa unateseka kwa sababu Allah hajakupa mtoto / watoto, basi tambua kuna watu wanateseka kwa sababu ya watoto wao.
• Ikiwa unateseka kwa sababu upo mbali na wale unaowapenda, kuna wenzako wanateseka kwa sababu wapo karibu na vipenzi vyao.
• Wakati mwingine mateso yanayosababishwa na uwepo wa kitu, maumivu yake ni makali mno kuliko mateso yanayosababishwa na kutokuwepo kwa kitu.
✍️ Mfano: Maumivu ya mtu ambaye anateswa na mtoto wake ni makali mno kuliko maumivu ya mtu anayetamani kupata mtoto.
• Najua kuwa utasema: Kuna watu Duniani wanapitia mateso makubwa kuliko wengine.
• Na mimi nakuambia: Baadhi ya watu watalipwa na Mwenyezi Mungu malipo makubwa kuliko wengine, jambo la msingi usiwaruhusu wenzako waliopatwa na mitihani wakupite kwenye ibada ya subira.
📌 Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: (Hakika bila shaka watalipwa wenye kusubiri malipo yao bila ya hesabu).
- Surat Azzumar: 10.
📌 Na amesema Mtume (swalla llahu alayhi wa sallam): (Hakika ukubwa wa malipo huambatana na ukubwa wa mitihani).
- Al-Tirmidhi.
✍️ Yaani: Mitihani kila inapokuwa mikubwa malipo yake nayo huwa ni makubwa.
• إن كنت تُعاني من فقرك، فاعلم أن هناك مَن يُعاني مِن غناه.
• وإن كنت تُعاني مِن عدم وجود الذرّيّة، فهناك مَن يُعاني مِن ذرّيّته.
• وإن كنت تُعاني مِن البُعد، فغيرك يُعاني مِن القُرب.
• والمُعاناة أحيانًا بوجود الشيء أشدّ مِن المُعاناة مِن عدمه.
• وأَعلمُ أنك ستقول: لكن بعض المعاناة أعظم مِن بعض.
• فأقول لك: وبعض الأجور أعظم مِن بعض، المهمّ لا يسبقك أهل البلاء إلى الله بالصبر.
📌 قال تعالى: ﴿إِنَّما يُوَفَّى الصّابِرونَ أَجرَهُم بِغَيرِ حِسابٍ﴾ [الزمر: ١٠]
📌 وقال ﷺ: (إنَّ عِظَمَ الجزاءِ مع عِظَمِ البلاءِ) - الترمذي.
أي: كلَّما كَثُر وزاد البلاءُ زادَتِ الحسَناتُ.
Katika Jamii, Wanaotembea Kwa Miguu ni Wengi Kuliko Wenye Baiskeli.
Wenye Baiskeli ni Wengi Kuliko Wenye Pikipiki.
Wenye Pikipiki Ni Wengi Kuliko Wenye Magari.
Hii Inafundisha Kwamba, Vita Ya Kufanikiwa Sio Nyepesi.
Ndio Maana Mafanikio Yanamilikiwa Na Watu Wachache Sana!
Sikia Bro
Hakuna anayejali magumu unayopotia
Hakuna anayejali ni kiasi gani unakaza kupindua meza
Hakuna anayejali upweke na stress za maisha ulizonazo
Hakuna anayejali kama ulishindia mihogo
HAKUNA ANAYEJALI, cha msingi tafuta sana PESA
Ukiwa nazo wataanza kukujali
FACTS!
1. Heineken Wametengeneza Uhusiano kati ya Kuangalia Mpira na Kunywa Bia
2. Coca-Cola Wametengeneza Uhusiano kati ya Kula na Kunywa Soda
3. Gymshark Wametengeneza Uhusiano kati ya Kufanya Mazoezi na Kuvaa Nguo zao
4. Redbull Wametengeneza Uhusiano kati ya Kinywaji Chao na...👇🏻