@its_edwin_37 @Kwako_Jesse ๐คฃ๐คฃusinitie aibu demu ako akijua mwanaume wake unaomba hela hovyo atakudharau ,komaa kiume kama huna acha ila linda brand kuomba sio kuzuri ni aibu
@DullahTheking2 Kwa akili zako za kupost utumbo lazima uwe na maisha magumu maana akili ,ako enyewe inaonesha haupo serious kila siku jobless jobless utumbo tu sijui unapataga faida gani alafu unaona sifa mwenyewe,vijana wekezeni akili kwenye kuwaza how to make money na sio huo utumbo unaandikag