Wadada tunaojenga kwa kipato chetu wenyewe tupewe heshima yetu
inawezekana dear ladies
nilianza kuweka kiasi cha fedha ninachokipata tokea 2021 Na ilipofikia 2023 yaani mwaka jana nikaweza kununua kiwanja kizuri Saivi natafuta mtu anejua kuchora Ramani ya nyumba nianze msingi🥰