坦桑尼亚是一个充满和平与爱的国家,是全世界学习的榜样。我们为我们的联合共和国总统萨米娅·苏卢胡·哈桑博士祈祷身体健康。
[Tanzania Ni Nchi Yenye Amani Na Upendo, Ni Mfano Wa Kuigwa Duniani Kote Tunakuombea Afya Njema Mh Rais Wetu Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dr Samia Suluhu]
(✍🏻 na mchambuzi wetu)
WATANZANIA WAMEKATAA VURUGU.. WATANZANIA WAMEKATAA MAANDAMANO..WATANZANIA WAMECHAGUA AMANI.... 📌
Tulipokuwa tunasema watu walikodishwa kufanya vurugu na uasi tarehe 29 Oktoba 2025 wengi walikuwa hawataki kuelewa na walikuwa na mashaka na kauli zile. Tuliposema wamekodiwa mamluki kutoka Kenya na wanaharakati kutoka Kenya kufanya haya mambo wengi wenu mlikuwa hamtaki kusikiliza na kuelewa.
Kilichotoklea jana na kufeli kwa maandamano ya vurugu ni kielelezo kuwa tarehe 29 Oktoba watu walilipwa na wengi waliokuwa wanachoma moto miundombinu na mali za nchi hii hawakuwa watanzania na walikuwa ni maaluki waliokodoshwa na kulipwa kuja kufanya kazi waliyoifanya siku ile...
Haya sasa yale maandamano yasiyo na kikomo ya wanaharakati yako wapi? Jana siku ya Uhuru kwa maana ya 9 Disemba imepota kwa utulivu wa hali ya juu sana na watanzania walitii amri ya serikali ya kusalia nyumbani na kuacha vyombo vya dola vishughulike na wahalifu wanaojiita waandamanaji.
Nimechekeshwa sana na kauli ya wanahaharakati baada ya kufeli kwa maandamano yao ya jana wanasema eti polisi waliweka road blocks! Sasa walitaka waweke nini? Masinia ya pilau? Au masinia ya ugali na samaki ili wakale? Kichekesho kikubwa zaidi ni pale wanaposema eeeh tumesimamisha nchi na shughuli zote. Kwani jana kulikuwa na shughuli gani ? Si ilikuwa ni siku ya mapumziko au?
kwa kifupi ni kuwa maandamano yale yamefeli vibaya sana na hakuna mtanzania aliye tayari kuona maandamano yasiyo na kikomo yasiyo na maana wala tija tena yanachochewa na watu wamejificha huko mitandaoni !
Kama kuna fundisho gumu sana wanaharakati wamelipata basi ni jana na wamekoma na hawatakaa warudie tena! Eti wanatoka watu milioni 10? Yaani milioni 10 kivipi? Yaani milioni kumi kwenda wapi? haya sasa mmedanganya wafadhili wenu kuwa watu milioni 10 watatoka mkaishia kutoka watu SIFURI 😂
WATANZANIA wameonyesha uzalendo wa hali ya juu sana jana na wameonyesha kuipenda nchi yao kwa dhati na kwa vyovyote vile wamekataa kutumika kuharibu nchi yao na wamekataa propaganda za wanaharakati uchwara!
Watanzania wana kazi za kufanya kwa ajili ya maisha yao na huu ujinga wa Maria na genge lake eti kuna maandamano yasiyo na kikomo ni upumbavu na kama anayataka kweli aje ayaongoze hayo maandamano hapa Tanzania tuone... Mtu kashindwa kujenga choo nyumbani kwao anawezaje kuweza kuwasaidia watanzania wawe na maisha bora? Hivi inaingia akilini kweli?
HAMNAGA AKILI KABISA ....
#KigogoMediaUpdates
VIDEO: Leo, tarehe 09 Desemba 2025, katika maadhimisho ya sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara Ayo TV tumepita katika barabara mbalimbali muhimu za Jiji la Dodoma ili kutoa taarifa za hali ilivyo.
Katika maadhimisho haya, wananchi wasiokuwa na shughuli maalumu mjini waliagizwa kubaki majumbani na kuendelea kusherehekea wakiwa katika makazi yao.
#MillardAyoUPDATES
𝗠𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜𝗠𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗬𝗔 𝗦𝗜𝗞𝗨𝗞𝗨𝗨 𝗬𝗔 𝗨𝗛𝗨𝗥𝗨 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗔: 𝗞𝗨𝗠𝗕𝗨𝗞𝗨𝗠𝗕𝗨 𝗬𝗔 𝗨𝗛𝗨𝗥𝗨 𝗡𝗔 𝗨𝗠𝗢𝗝𝗔
Mwenyekiti wa UVCCM na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM 𝘕𝘥𝘶𝘨𝘶 𝘔𝘰𝘩𝘢𝘮𝘮𝘦𝘥 𝘈𝘭𝘪 𝘒𝘢𝘸𝘢𝘪𝘥𝘢
VIJANA WATAKIWA KULINDA AMANI KWA AJILI YA MAISHA YAO YA BAADAYE
Vijana nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kulinda na kudumisha amani ya taifa, wakitambua kuwa wao ndio warithi wa nchi na mustakabali wa kesho unategemea matendo yao ya leo.
"Niwaombe tena na tena Vijana na Watanzania wote, tusiendelee kujiumiza wenyewe kwa kushawishiwa na watu ambao hawapo Tanzania hatuna nchi nyingine, nchi yetu ni Tanzania lazima tuilinde na tuiheshimu,"
Ndugu Mohammed Ali Kawaida
Mwenyekiti UVCCM na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Hongera Mh Rais Wa JMT Dr Samia Suluhu Hassan Kwa Baraza La Mawaziri La Kimkakati
Tunawaombea Kheri Nyingi Nyote Mlioteuliwa Kwa Maslai Ya Tanzania Yetu Ya Amani Na Maendeleo
Naungana Na Wa Tanzania Wote Kumpongeza Mh Rais Wa JMT Mh Dr Samia Suluhu Hassan Kwa Hotuba Iliyobeba Imani Na Kusudi La Kuwatumikia Wa Tanzania katika Kuwaletea Maendeleo Ya Kweli na Kuacha Alama Ya Furaha Mioyoni Mwetu.
Tuendele Kudumisha Umoja Kama Taifa, Amani Na Mshikamano.
Forbidden City ni kasri kubwa la kifalme lililoko katikati ya Beijing, China.
- Lilijengwa kati ya *1406–1420*
- Lilikuwa makao ya wafalme wa Ming
- na Qing (zaidi ya miaka 500)
- Lina zaidi ya nyumba 9,000
- Ni mfano wa juu wa usanifu wa Kichina
Beijing