Yeye sio sababu ya Umaskini katika Taifa letu.
Yeye sio sababu ya rushwa katika Taasisi mbalimbali.
Yeye sio sababu ya deni la Taifa kuongezeka.
Yeye sio sababu ya upotevu wa mapato Serikalini.
Yeye sio sababu ya kukwama miradi ya maendeleo.
Kwanini yupo Mahabusu???
"I sought the LORD, and he answered me; he delivered me from all my fears." — Psalm 34:4 (NIV)
Seek Him today. He will answer and deliver you from fear! 🙏
Salute Rachel Dangwa
Napenda unique style yako ya kupambana na hawa wauaji washenzi lakini pia naomba radhi - I was not familiar with your game 🔥
Kumbe unaonekana unaongea tu vitu lakini ni 100% certified za ndani!
Nawahimiza wote hata kama hupendi style yake msikilze kwani Rachel anatoa taarifa zingine nyeti hata mi niki hakiki inakuwa confirmed! Kuchukuliwa poa nayo ni advantage na Rachel should never be underestimated! She is very smart and strategic! Follow her na msikilzeni vizuri akiwapa taarifa!
Hii harakati tunahitaji soldiers who come in different forms! Rachel ni real soldier! 🔥
Naku salute 🫡
Australia wale jamaa wameshoot raia beach na wameua na kujeruhi watu, haijapita hata masaa wameshakuwa identified na wamedakwa tayari na
mmoja kauliwa!!
Njoo bongo sasa, wameuliwa raia 2000+ mpaka leo hakuna muuaji hata mmoja aliyekamatwa eti inaundwa tume kuchunguza……..!!! Tume ushu💨
Tuna uongozi wa kiduanzi mno!!
#TANZANIA:CHADEMA YATAKA UCHAGUZI UFUTWE NA TUME IVUNJWE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetaka kufutwa kwa uchaguzi uliofanyika tarehe 29 Oktoba, kikisema zoezi hilo halikuzingatia misingi ya uhuru na haki. Chama hicho pia kimetoa wito wa kuvunjwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na kuundwa upya kwa chombo kitakachokuwa na uwajibikaji na uhalali wa kikatiba.
Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Bara, @HecheJohn , akizungumza jijini Dar es Salaam baada ya kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho, amesema wanaiunga mkono mitazamo ya makundi mbalimbali ya kijamii na waangalizi wa uchaguzi walioibua hoja kuhusu mwenendo wa uchaguzi huo.
Heche amesema kuwa ripoti za waangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Umoja wa Afrika (AU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zinaonesha wazi uwepo wa mazingira yasiyokuwa na usawa pamoja na changamoto za uhalali wa mchakato mzima wa uchaguzi.
“Masuala yaliyoainishwa katika ripoti hizo yanaimarisha msimamo wa CHADEMA kuendelea kudai mageuzi ya kikatiba, kisheria na kitaasisi, ili Tanzania iweze kuendesha chaguzi huru na zenye kuaminika mbele ya wananchi wake na jumuiya ya kimataifa,” amesema Heche.
‼️🚨POLICE HAVE KILLED A YOUNG MOTHER ‼️
Police in #Tanzania continue with extrajudicial killing and yesterday in Keisangora, Nyamwaga, Tarime distirct, @tanpol went to harass a woman who was selling local brew! Her daughter who had just given birth tried to defend her mother and was killed by police
Mauaji haya ya dhulma na kikatili hayana mwisho! Wamemwua binti mdogo Rhobi (picha hii ya zamani) aliyetoka kujifungua! Alikuwa anamtetea mama yake, polisi mmoja alimkaba na kumpiga na kumrusha kwenye mawe akafa! Ndugu walipeleka mwili polisi wakapigwa tia gas na polisi wametokomea na mwili wa Rhobi
So @SuluhuSamia usije na drama zako! Nyie ni wauaji jana, leo na kesho
Tunataka HAKI
We need JUSTICE then we will get peace💪🏽
#D9 #SamiaMustGo
Baada ya kutuuwa ndio mnatufungilia kanisa tuliwaomba..
Mbona tunasalia nyumbani na Mungu anajibu kila siku
Michezo ya kitoto mnachochea tanuru🔥
Repost bila kuchoka
jaji mkuu anaruhusu vipi kesi kuahirishwa kwa muda usiojulikana, tena kukiwa na kila dalili kwamba serikali haina kesi yoyote dhidi ya lissu? huyu si ndo huja hadharani na kujipiga kifua akizungumzia uhuru wa mahakama? jaji mkuu anaruhusuje mahakama kunajisiwa kiasi hiki? ajibu!
Baada ya haya yote inakuaje mtu anapata nguvu ya kuzungumza?? Inakuaje hana hata huruma ya uongo? Inakuaje unakana haya? Inakuaje unasema ni AI? Inakuaje unasema ni watu kutoka nje? Mara wamelipwa? Mara wachunguzwe? Kivipi yani? Kiaibu hata cha mbali hamna? Unyama sana 💔
Ripoti ya CNN imesema huyu mama alikuwa na MIMBA YA MIEZI MITATU. Alipigwa Risasi ya TUMBO.
Wameua MAMA na kichanga cha miezi mitatu. Haya yote yalifanyika GIZANI wakiamini dunia haitaona.
Mazungumzo yoyote ya kugawana madaraka na vyeo vya kisiasa HAPANA. Wafanye WAHUNI tu. Msingi wa mazungumzo ujengwe katika UKWELI na UWAJIBIKAJI. Haiwezekani kujadili kugawana VYEO wakati waliomwaga DAMU za vijana wapo huru na familia nyingi hazijui wapi zilipo maiti za ndugu zao.
Tangu nitoke mahabusu ya polisi leo ni siku ya 6 line yangu @VodacomTanzania haifanyi kazi.. Hakuna simu inayoingia wala mimi siwezi kupiga simu ikatoka, hata namba 100 ya huduma kwa wateja haitoki:
Nimekuja Voda shop kujua na wao wanasema hawaoni shida au nisubiri masaa 24.
Kuna uwezekano mkubwa yakawa yale ya ndugu yetu Erick.
Voda ni muhimu mkaniambia kuna tatizo gani.
Nimeweka kwenye public ili kila mtu ajue.
BREAKING: Samia anaendelea kumwaga hela kujaribu kujisafisha yeye na mwanaye Abdul kuhusiana na haya mauaji. Wazalendo ndani ya CCM wamegoma. Hawataki tena mambo ya kutawaliwa na waOman.
Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote.
Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki.
Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na ulemavu.
Ametoa pole kwa wote waliopoteza mali pia.
Damu ya wenzetu haijamwagika bure na hakuna atakaefunika jambo hili bila uwajibikaji.
Msimamo wa Mwenyekiti uko thabiti, Yuko imara na mwenye afya njema.
Huyo Mwana Mama ilikua mwaka 2019 aliongonza MAANDAMANO Nchi nzima SUDAN Kumng'oa Omar Bashir ambae mpaka leo kafungwa kwenye gereza alilolijenga mwenyewe alilokua akiwatesea wapinzani wake Leo hii anasota huko pake yake 🧐
Huyu Dada ni sawa na @mangekimambi